Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna mwenye shida humu,this is not a charity organization, Toa likes pata like,humu wengine tnaenjoy tu hatuna dhiki kiasi hicho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya mola wangu.Vijana wanateseka na like sijui wanataka wazifanyie nini!!!?? Heshima yako mkuu[emoji120] [emoji120]
 
upload_2017-7-26_18-5-6.png
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kwema? Unajua aliye nacho anatafuta lugha/picha itakayo mfanya asiye nacho aamini kuwa mwisho wa siku wote watakuwa sawa.Tajiri akifa na masikini akifa wote ni maiti,watazikwa,lakini,familia ya tajiri itakuwa imara huku ikiomboleza kwa kuondokewa na mpenzi wao na wakati huo kufuata miiko ya kile alicho kiacha ili kiendelee kuwa nufaisha.Familia ya maskini itaomboleza kuondokewa na mpenzi wao,lakini pia,hali ya utafutaji itakuwa ngumu sana maana nguvu kazi itakuwa imepungua.Muhimu tupendane.Tusichoke kuitafuta ziada kwa manufaa ya baadae.
Yaani kuna wakati unakuwa na busara za kutisha. Tatizo ukimuona Carba tu pfuuu. Everything goes through the window. Stay away from Carba!
 
Back
Top Bottom