Of course. Hata vita ya wanaume wa Dar na wa mikoani ni utani tu!Aach hizo,wanakula kama msosi kamili,hizi picha za bugale mbwembwe tu mitandaoni
Shimba leo umeamua ujionyeshee eehVibanda vipo lakini watu wanakula kama snacks tu kutuliza njaa. Wakifika home ndo sasa wanakula mlo kamili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
18:343:22
AMUN RA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naona imebidi utoe ufafanuzi kabla wananchi hawajaja...Kagongwa nyuma, ya.kahama lakini
Laivu kabisa hapo mkuu kabla mpambano haujaanza!Shimba leo umeamua ujionyeshee eeh
18:36 Bongo bahati mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi ni saa 7:11 mchana.
Mji wa Preston Lancashire, uingereza
Karibuni tupate lunch kidogo...
18:3615:04
HahahahaYes. Tunaye Goddess wetu humu. Goddess of 10,000 names.