Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Umeanza!Hivi Orange "chungwa" liliitwa Orange kwasababu lina rangi ya Orange au rangi ya Orange ndio iliitwa Orange kwasababu ina rangi ya Chungwa "Orange?"
Humu ni likes tu
Hahhaa nauza smart nafuga kuku wa kisasa.Unarudisha simu yako ya kukodi? 😀😀
Pamoja ndugu yangu msingiDaaah ndugu yangu sina usemi maana ndio hivyo tena.
Ngoja nimalizie ishu na wale jamaa. One hour nitakuwa home.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nimeiona[emoji7] [emoji7] [emoji8] rudi basiii
Gongo! Ilishahalalishwa?
Yap
Sawa my love.... nakusubiri.Ngoja nimalizie ishu na wale jamaa. One hour nitakuwa home.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sababu zipo nje ya uwezo wangu ila nitawakumbuka sanaMpaka Bob12 Simba
Anaulizia kichwa kichafu