Nilisoma huko high school. Nawajua vizuri sana!Sana, ushawahi kuwatafuna Mkuu? Mie niliwahi wa kukaanga watamu sana. Nilidhani nitatapika kuwala hao wadudu lakini walikuwa bomba.
Leo sitakiwi kukasirika kabisa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Aaaa wapi. Kichwa haendi popote. It is just Kichwa being Kichwa. Carba akithibitisha habari hizi ndo nitaamini!
Weka post uwezavyo leo maana ninajitahidi kadiri niwezavyo kugonga likes post zote.
Leo sitakiwi kukasirika kabisa [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kweli kabisa mkuu huko tunapiga kabisa mahindi.Mkuu tunapukuchua mahindi huku kijijini na kupata mtandao hadi upande kwenye kichuguu
Sent using Jamii Forums mobile app