Hivi we mbona usikii hebu toa huo mwandiko unanisumbua tu kusoma post mbaya kama hiziUsinitaje taje najing'ata huku[emoji1][emoji1]
Na hata sijasoma...muda wa kusoma sina kwanza...Kwanza nilikuwa sitaki kukuaga kabisa maana napoteza mda heri nitapanda mti mda wa kukwambia kwaheri.
Mambo mengine tu ila nitarudi usihofu.
Kwanza nimepoteza mda kukujibu sitaki usome hapa.
Mkuu kwema kabisaMkuu vipi tena