Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ebad8a6acae29e4e8af113b0588a7a75.jpg

Nitakukumbuka kwa picha hii ulivyo jitahidi kujificha ili carba na Cole wapite[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaagrrr sitaki kuagwa mimi...ukija na ID nyingine nitafute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ila serious whats up?nini mbaya?bi mkubwa karudi nini unarudisha simu?[emoji23][emoji23][emoji23]ila nitamiss uwepo wako[emoji22][emoji22][emoji22]
Kwanza nilikuwa sitaki kukuaga kabisa maana napoteza mda heri nitapanda mti mda wa kukwambia kwaheri.
Mambo mengine tu ila nitarudi usihofu.
Kwanza nimepoteza mda kukujibu sitaki usome hapa.
 
Back
Top Bottom