Hii ni familia..unakimbia familia??Kiongozi inabidi tu niende ila nitarudi tu mkuu
Mijibaba itakavyo gombania umiliki[emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes...ndivyo ulitakiwa kufanya.Haya ingia chumbani mlilie mpaka akutoke akilini mwako.Nikija chumbani nikute umelala....Mh, haya kichwa nakutakia safari njema