myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤲🤲Maombi na sala inapokua ndio Tabia yako, miujiza na ushindi inakuwa ni kawaida kila siku kwenye maisha yako.USIACHE KUABUDU, MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤲🤲Maombi na sala inapokua ndio Tabia yako, miujiza na ushindi inakuwa ni kawaida kila siku kwenye maisha yako.USIACHE KUABUDU, MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU
👍👍Maombi na sala inapokua ndio Tabia yako, miujiza na ushindi inakuwa ni kawaida kila siku kwenye maisha yako.USIACHE KUABUDU, MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU
SAHIHIBila kuwa na Subira katika haya maisha utapoteza watu muhimu kwa Maamuzi ya Hasira.
SIKU ZOTE HASIRA HASARA
Muda mwingine zipende nyakati ngumu unazopitia Maana maumivu yake yataisha ila mafunzo yake ni ya kudumu
Hili kweliBila kuwa na Subira katika haya maisha utapoteza watu muhimu kwa Maamuzi ya Hasira.
SIKU ZOTE HASIRA HASARA
NakubalianaMuda mwingine zipende nyakati ngumu unazopitia Maana maumivu yake yataisha ila mafunzo yake ni ya kudumu
SawasawaKufanikiwa sio kuwa na hela tu, Hata kujitambua wewe ni nani, unatakiwa kufanya nini, una marafiki wa Aina gani, Mnakaa maeneo gani na Kwa muda gani.
HAYO NI MAFANIKIO MAKUBWA SANA
Jifunze kutofautisha kati ya msimamo, kiburi na Dharau. Hii ndio njia pekee itakayokusaidia kuacha kuwachukia watu bila sababu za msingi
Mtu anayekunyima anakufundisha kutafuta chako.USIMCHUKIE KAMWE
Jifunze kutofautisha kati ya msimamo, kiburi na Dharau. Hii ndio njia pekee itakayokusaidia kuacha kuwachukia watu bila sababu za msingi
Nakubaliana na weweMtu anayekunyima anakufundisha kutafuta chako.USIMCHUKIE KAMWE
✅️✅️Jifunze kutofautisha kati ya msimamo, kiburi na Dharau. Hii ndio njia pekee itakayokusaidia kuacha kuwachukia watu bila sababu za msingi
Mtu anayekunyima anakufundisha kutafuta chako.USIMCHUKIE KAMWE
Jifunze kusema sawa bila ya kubisha,
Jifunze kuwa mpole bila ya kukasirika,
Jifunze kuondoka kwenye maisha ya watu bila chuki.
TABIA NZURI HUPATIKANA KWA KUJIFUNZA TU
Muhimu na hiliISHI HIVI
Kulala -masaa 8
Kufanya kazi -masaa 9
Familia -masaa 2
Mungu -masaa 2
Mazoezi -masaa 3
Kujijali mwenyewe -saa 1
IKIWA UNATAKA KUFANIKIWA
KUBALI KUJIFUNZA Pamoja na Akili uliyojaaliwa na Mungu bado kuna kiwango kikubwa sana cha maarifa amekiweka kwa watu wengine ili tutegemeane Kubali kujifunza kwa walio kutangulia
ISHI HIVI
Kulala -masaa 8
Kufanya kazi -masaa 9
Familia -masaa 2
Mungu -masaa 2
Mazoezi -masaa 3
Kujijali mwenyewe -saa 1
IKIWA UNATAKA KUFANIKIWA
NajifunzaJifunze kusema sawa bila ya kubisha,
Jifunze kuwa mpole bila ya kukasirika,
Jifunze kuondoka kwenye maisha ya watu bila chuki.
TABIA NZURI HUPATIKANA KWA KUJIFUNZA TU
Nakubaliana hivyoISHI HIVI
Kulala -masaa 8
Kufanya kazi -masaa 9
Familia -masaa 2
Mungu -masaa 2
Mazoezi -masaa 3
Kujijali mwenyewe -saa 1
IKIWA UNATAKA KUFANIKIWA
Najifunza hiliJifunze kusema sawa bila ya kubisha,
Jifunze kuwa mpole bila ya kukasirika,
Jifunze kuondoka kwenye maisha ya watu bila chuki.
TABIA NZURI HUPATIKANA KWA KUJIFUNZA TU