myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaanza kukataa kutumika, basi kuonekana una kiburi ndio gharama utakayolipia
Kuelewa ni kazi sana kuliko Kujua,Na ndio Maana wapo watu wengi wanaotujua Lakini ni wachache wanaotuelewa.
Ndani ya mafanikio kuna siri kubwa sana, moja ya siri ni KUWA MSIRI.
Ndani ya mafanikio kuna siri kubwa sana, moja ya siri ni KUWA MSIRI.
Kama unaogopa Kuchukiwa Basi Hustahili Kufanikiwa, Kwa sababu Kivyovyote vile Hakuna maendeleo yasiyo na Chuki
Kama unaogopa Kuchukiwa Basi Hustahili Kufanikiwa, Kwa sababu Kivyovyote vile Hakuna maendeleo yasiyo na Chuki
Ajabu ya mwaka
Kama huwezi kuandika Furaha ya Mtu, Basi Jaribu kuwa Kifutio ili Kuondoa Huzuni zake
Anakupenda sio kama haoni wengine bali ni heshima na thamani ameamua kukupa wewe, Mpe thamani na upendo na sio dharau
kuna maumivu makubwa ndani ya neno "Niko sawa" Kuna Siri kubwa ndani ya neno "Yaishe" Kuna uongo mkubwa ndani ya neno "Nakupenda" kuna ukweli mwingi ndani ya neno "Natania" Kuna Faraja kubwa ndani ya neno "Nisamehe"