myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Njia ya haraka sana ya kuharibu na kupoteza ndoto zako ni kujilinganisha na watu wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Njia ya haraka sana ya kuharibu na kupoteza ndoto zako ni kujilinganisha na watu wengine.
Muhimu sanaUsijisikie vibaya ikiwa mtu atakukataa, watu kawaida hukataa vitu vya gharama kubwa kwa sababu hawawezi kumudu
Nakubaliana na weweMaisha ni mtihani mgumu zaidi,Watu wengi wanafeli kwa sababu wanajaribu kuiga wengine bila kujua kuwa kila mtu ana karatasi yake tofauti.
✅️✅️✅️Njia ya haraka sana ya kuharibu na kupoteza ndoto zako ni kujilinganisha na watu wengine.
Kwenye dunia hii ambayo kila mtu yupo na maisha yake na changamoto zake, endapo akitokea mtu akaonyesha juhudi na kukujali basi mthamini sana mtu huyo
Nakukumbusha kuwa.,Maisha ni mafupi, ISHI. Upendo ni nadra THAMINI. Hasira hasara, ACHILIA MBALI.Kumbu kumbu ni nzuri, TUNZA..
Sawa hiliHuwezi kumlaumu Shetani kwa matendo yako, sababu siku ya hukumu atasema.... "Sina mamlaka juu yako, nilikuingia na ukatii, usinilaumu jilaumu mwenyewe
Nakumbuka vyemaNakukumbusha kuwa.,Maisha ni mafupi, ISHI. Upendo ni nadra THAMINI. Hasira hasara, ACHILIA MBALI.Kumbu kumbu ni nzuri, TUNZA..
AiseeUKINENEPA unakula sana, UKIKONDA mgonjwa,UKIVAA VIZURI unajionyesha, UKIVAA KAWAIDA huna pesa, UKIWA BIZE unaringa, UKIWA KARIBU NAO huna la kufanya,Hakuna kitu utakacho fanya binadamu akaacha kuongea, unachotakiwa kufanya ni kufanya kile kitakacho kupa AMANI