Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mahusiano bora hujengwa kwa usawa, si kwa kuomba au kulazimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍👍Mahusiano bora hujengwa kwa usawa, si kwa kuomba au kulazimisha
Tena ni mke wa halali kabisa wala hujakosea.Wooooooowwwwwwww mrs mshana analia jamani analilia pooooosssstsssssssss pole weeeeeeee
Maisha ni kupanda na kushuka. Jenga watu ili wakujenge.
Mafanikio yanaazimwa kwa muda tu. Usikubali yafie kwako.Inua wengine ili uzidi kukua nafsi yako.
Unawaza zaidi matunda kuliko kufanya kazi yenye kuzaa matunda.Punguza kufikiri. Fanya zaidi.
Mafanikio yanaazimwa kwa muda tu. Usikubali yafie kwako.Inua wengine ili uzidi kukua nafsi yako.
Thats good. Haya zima data ukampe kimoja cha kulala nachoTena ni mke wa halali kabisa wala hujakosea.
DuhThats good. Haya zima data ukampe kimoja cha kulala nachoView attachment 3249525arererereeeeeeee bi harusi tunayeeeeeeeeeeeeee
Kuinua watu ni kujenga daraja la kukuvusha wakati wa changamoto
Usimdharau wala kumtusi mpishi sehemu ambayo wewe ni mgeni
👍👍Usimdharau wala kumtusi mpishi sehemu ambayo wewe ni mgeni
NajifunzaJifunze kupotezea.Usinune.Usiweke kinyongo.Usilaumu.Potezea tu. Linda moyo wako na amani yako kwa wivu mkubwa