myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Ikiwa Hakuna Ulazima Wa Kutangaza Kitu Ambacho Kinakupa Furaha Tulia Kimya Wanga Ni Wengi Mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👍Ikiwa Hakuna Ulazima Wa Kutangaza Kitu Ambacho Kinakupa Furaha Tulia Kimya Wanga Ni Wengi Mno
KweliIkiwa Hakuna Ulazima Wa Kutangaza Kitu Ambacho Kinakupa Furaha Tulia Kimya Wanga Ni Wengi Mno
✅️✅️Ikiwa Hakuna Ulazima Wa Kutangaza Kitu Ambacho Kinakupa Furaha Tulia Kimya Wanga Ni Wengi Mno
👍👍Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote Amka sasa tuanze upya bila kukata tamaa
AiseeKumzuia mtu kuanguka ni bora zaidi kuliko kumnyanyua akishadondoka
✔️✔️✔️Kumzuia mtu kuanguka ni bora zaidi kuliko kumnyanyua akishadondoka
Uaminifu..Uaminifu wako ndio utakaokupatia watu wa kukusogezea fursa
Uwe na subira, chukue hatua taratibu, na usijaribu kuharakisha mambo kwa sababu maisha yanahitaji uvumilivu na ustahimilivu ili yakae vizuri
Uwe na subira, chukue hatua taratibu, na usijaribu kuharakisha mambo kwa sababu maisha yanahitaji uvumilivu na ustahimilivu ili yakae vizuri
Hakikisha unaifahamu vizuri njia ya kutokea kabla ya kuingia na kamwe usikijaribu kitu wala kusema chochote bila kuwa na taarifa kamili .
Uwe na subira, chukue hatua taratibu, na usijaribu kuharakisha mambo kwa sababu maisha yanahitaji uvumilivu na ustahimilivu ili yakae vizuri
✔️👍✔️Kwenye Changamoto Moyo Wako Ujaze Shukrani Na Uvumilivu,Sio Majuto Na Kukata Tamaa
Kwenye Changamoto Moyo Wako Ujaze Shukrani Na Uvumilivu,Sio Majuto Na Kukata Tamaa
✅️✅️Hakikisha unaifahamu vizuri njia ya kutokea kabla ya kuingia na kamwe usikijaribu kitu wala kusema chochote bila kuwa na taarifa kamili .
Mambo mawili yanakufafanua, uvumilivu wako wakati huna chochote, na mitazamo yako wakatii unapokuwa na kila kitu
maisha haya ni safari yenye milima na mabonde. Yanataka uvumilivu, juhudi, na akili. Wakati mwingine yanaonekana magumu, lakini ukiweka malengo yako wazi na kupambana nayo bila kukata tamaa, utafanikiwa

📌📌📌Mambo mawili yanakufafanua, uvumilivu wako wakati huna chochote, na mitazamo yako wakatii unapokuwa na kila kitu
Maisha haya hayana nafasi ya kusita. Ukishachukua jukumu, ukishafanya uamuzi, mbele ni njia pekee. Changamoto zipo, lakini kusimama si chaguo. Nguvu, uvumilivu, na uthubutu ndiyo tiketi ya kufika mbele!Kumbuka Hatamu ikishikwa, punda sharti aende!
Sawa piaMaisha haya hayana nafasi ya kusita. Ukishachukua jukumu, ukishafanya uamuzi, mbele ni njia pekee. Changamoto zipo, lakini kusimama si chaguo. Nguvu, uvumilivu, na uthubutu ndiyo tiketi ya kufika mbele!Kumbuka Hatamu ikishikwa, punda sharti aende!