Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Hongera utapa Tu hapa wnapita wengiUmri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
Ndoa ilikushinda kwanini utake kuoa tena?Umri miaka 35
Kazi: Polisi
Status: Nilioa ndoa ikanishinda ila nina watoto wawili watundu mmoja wa nje ya ndoa
Naishi Mkoa wa katavi
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu atakuwaje mnene na mwembamba?Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
Imekaa vema sana[emoji23][emoji23]Umri: 30
Makazi: Dar
Elimu: Standard 7
Kazi: ......
Gari: sina
Pesa: sina ila nitapata siku zijazo
Jinsia: Me
Hapa ni mwili unakuwa umekukubali halafu umekukutaa
Sawa umeshapata??Above 18
At leat form 4
Mchapakaz,,kama hana kazi awe tayar kwa kuendesha biashara
Hapa ni mwili unakuwa umekukubali halafu umekukutaa
Mambo ya kachumbari baridi moto hayo[emoji23][emoji23][emoji23] hii imekaaa mchanganyo
Happy dude [emoji67][emoji538]