@dronedrakeMSIOE PLZ
Umepata?Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
Exactly hv umu watu wanapata wachumba seriously? [emoji3]Yupo radhi ufanyiwe delivery ht kama upo abroad [emoji1787][emoji1787]
Wanapataaa weka uzi tuzame pmExactly hv umu watu wanapata wachumba seriously? [emoji3]
Dah,Wanapataaa weka uzi tuzame pm
Ndiyo nataka 😅😅Dah,
nimekuja mbio, nikajua umeweka Tangazo unatafuta mchumba.
Vigezo ni vip [emoji39][emoji39]Ndiyo nataka [emoji28][emoji28]
Duuuh [emoji16][emoji16]Wanapataaa weka uzi tuzame pm
We una vigezo vipi mkuuVigezo ni vip [emoji39][emoji39]
Mimi ni mwanaume na
Umri: 30 yrs,
Elimu: Degree Holder
Urefu: mrefu wa 180cm
Weight: 78kg, BMI 24kg,/m2
Rangi: mweusi
Ninapoishi: Dar/Dodoma
Kabila: Msukuma
Dini: Mkristo (RC)
Kazi: nimejiajiri
Hali ya Ndoa: Sijawahi kuoa (single)
Watoto: Sina mtoto
Ninaemuhitaji (mwanamke) mwenye
Umri: (20-27 yrs)
Elimu: kuanzia Form Four
Urefu: 160cm na kuendelea
Dini: Mkristo, dhehebu lolote. (kama ni islam awe tyr kubadili)
Rangi: maji ya kunde au mweupe
Awe hajawahi kuolewa
Watoto: asizidi mmoja
Mengine ni ya kuelewana tu.
Umri: 25 yrs
Kazi: mfanyabiashara
Elimu : Degree in Information & Communication Technology ( ICT ) + Diploma in information management ( DIM )
Location : Mbezi (DSM)
Dini : Christian
Sifa za mke
Umri :19-30 yrs
Kazi : awe na kazi anayofanya ya kueleweka
Elimu : angalau kidato cha nne na kuendelea
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote
Karibuni kwa wahitaji