Sawa sawa
Real man pepo ataiona hakika, atafika Mbali [emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu ulipata mke?
Wanazipentaa[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwann wanyaki na satini??!
😝Kuliwa wapo kitaa wengii... Umu siez approach mtu aseeh.. [emoji3] Ila km anatak kuolewa awe mchaga, mweupe, na awe na kazi yoyote ata genge
Kina mankaa aseeh umri uwe 20.... Kushuka chn[emoji13]
😂😂😅 uoga huo mkuuNatafuta mchumba...
Awe anapenda kusoma vitabu sanaa.
Elimu kuanzia Form 4.
Kazi sijachagui
Kabila asiwe wa Kanda ya Ziwa.
Kipaombele Mchaga.
Umri kuanzia 35.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja upendeleo awe mtoto wa kike akiwa wakiume sio mbaya japo wakiume akiwa sio mtoto wako akiwa mkubwa unawesa dundwa ukimzingua mama ake bahati mbaya.
Rangi yeyote japo mweupe napendelea.
Mimi nina kazi serikalini am Dervoced.
Umri wangu 34.
Mrefu pia mchaga.
Ninae ishi Morogoro
Hehehehe nilisha jionea😂😂😅 uoga huo mkuu
We tuma tu mkuu you never know😁😁😁Mliopata mlete mrejesho humu
Mtushawishi kuweka wasifu wetu sasa
🤣🤣🤣🤣 tujue kwanza waliofanikiwaWe tuma tu mkuu you never know
Aweke wasifu! Nitume mshenga...kesho asubuhWe tuma tu mkuu you never know
Kamati tupo tayari mambo yasiwe mengiAweke wasifu! Nitume mshenga...kesho asubuh
Unachelewesha watoto shule dear weka mkeka watu waruke nao🤣🤣🤣🤣 tujue kwanza waliofanikiwa
Huja wahi kuwa na akili😆😀😂, mbwa hii fundi bishooUmri bado kijana
Makazi dar
Naishi home kwa baba kwa yyte alie tayari aje tumkodishie chumba
yess BiShoo haswaaAaa