Nitext 0743503492Jina ; Niima
Umri : 35
Elim form 4
Mtt sijajaaliwa
Dini christian
Kazi genge
Assets sina
Mweusi, ft 5.4 , mnene yani wa kawaida sana
Mwanaume! Awe mkristo
Single ,akiwa na watt hata 10 poa tu
Ajiweze kiuchumi kiasi mana mie ndo hivyo tena
Umri 38-50
Pm chaaap tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitext 0743503492Jina ; Niima
Umri : 35
Elim form 4
Mtt sijajaaliwa
Dini christian
Kazi genge
Assets sina
Mweusi, ft 5.4 , mnene yani wa kawaida sana
Mwanaume! Awe mkristo
Single ,akiwa na watt hata 10 poa tu
Ajiweze kiuchumi kiasi mana mie ndo hivyo tena
Umri 38-50
Pm chaaap tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pmJina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
nichek pm tuyajenge
Ahahaha mbona nimeshakuja tyri, hujaniona bd?nichek pm tuyajenge
Nenda hivo hivo,hakunaga mkamilifu dear, tena hivo vingine unavyo,aku uko vizurii
25?Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
Ahahahaah nimeshakosa tyr hiyo nafasi. Atakuwa hanipendi kweli kwasbb kimoja sinaNenda hivo hivo,hakunaga mkamilifu dear, tena hivo vingine unavyo,aku uko vizurii
Sasa unataka unimiliki kwa namna ipi na ushakuwa babe wangu
Nenda hivo hivo,hakunaga mkamilifu dear, tena hivo vingine unavyo,aku uko vizurii
Niliweka huko juu ila sikupata mchumba, sikua na vigezo wanavyovitaka waoaji😛
Chura huna?? KwaniNiliweka huko juu ila sikupata mchumba, sikua na vigezo wanavyovitaka waoaji[emoji14]
Chura sina, sura ndyo nafanana na mjomba basi tafrani tupu😀
Mbona hukuniita nije. Nipandishe mtu cheoBila shaka huu uzi utafanya tuje kuserebuka wana jf.
Endeleeni kujimwaga naamini mtapata wale muwatakao ikiwa tu mutakuwa serious na sio kuufanya uzi wa mizaha.
Unakaaje sasa. Kwa hiyo nawewe ni mgaa gaa na upwa kwenye huu uziChura sina, sura ndyo nafanana na mjomba basi tafrani tupu[emoji3]