Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah, hiyo ya kupandisha vyeo watu sitaki mimi, namuonea huruma mwanamke mwenzangu and what goes around comes around, siku utanipandisha na mi mwenyewe, mambo ya Dr Mwaka anayaweza mwenyewe aisee.
Hivi hujui dr mwaka ndio kiumbe chenye furaha dunian? Kama hutak namie niipate hiyo furaha sawa
 
umri miaka 28
rangi na muonekano check dp
elimu bachelor in BA
kazi broker wa magari na hotels
mrefu maji ya kunde
situmii kilevi chochote

nimtakae
awe mwenye kujipenda
mwepesi wa kufundishika na mawazo chanya
rangi maji ya kunde au mweupe
asiwe na mambo mengi kama vilevi nk
awe serious kwa ajili ya mahusiano na ndoa hapo baadae
karibu pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada ambao mpo single mnaitwa huku
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aloo unakujakuja ila hiyo budget ni ile ya posho 45000 ya jkt
Baada ya kutoka chuo cha taifa haujaongeza sifuri kadhaa mbele?
wasijali hilo ni jina tu kama ilivyo hiyo zilion, hizo services zangu ni chache na nazimudu mwenyewe, buku la mafuta ya kupaka inatosha,nywele nanyoa no gharama za saloon ,umeonaa hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jinsia: mwanaume
umri: middle 30s
shughuri: ajira/biashara
elimu: graduate
dini: mkristu
kimo: mrefu
rangi: black
mtoto: sina

mwanamke nimtakaye

umri: below 32
mtoto: asiwe na mtoto kabisa
rangi: mweupe/maji ya kunde
dini: mkristu
elimu: form 4 and above
shuguri: awe nayo au awe tayari kujishughurisha.

karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…