Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu: kidato cha nne
Ukiona mtu anakuponda ujue anakukubali ila ambae hakukubali kamwe hawez kukufatiliaEti mimi namdomo mchafu siwaheshimu watu wazima mimi malaya yaani na hata hawanijui . Hawajawahi kuniona
Ngoja nikuvute
hv ukiingia chuo ukasoma semista moja afu ukaacha..... afu mtu akakuuliza una elim gan? utamjibu una elim ya chuo?? huon jamaa aliacha chuo baada ya kunogeewa na mapene????