Sifa zangu
Umri : miaka 30
Jinsia : Me
Kabila: Mnyankole
Kazi: cheti feki nikatumbuliwa Sasa ni dalali na kuchongesha chongesha mihuri pale Posta mpya.
Pesa: hadi dili nipate, kifup pesa ni ya kusua sua.
Nguvu za kiume? : zipo nyingi mno kila siku lazima nile karanga, mtindi na korosho.
Nyumba: sina
Gari: sina
Umepanga: ndio
Watoto: sina
Upendo: upo
Nimtakae Sasa mimi awe na sifa zifuatazo
Kwanza: awe na Afya njema, tabia njema, si mkorofi korofi na maneno maneno mengi
Pili : awe ni Mrembo, tako alivurute chini
Tatu: awe na atleast degree plus cheti kingine chenye professional nyingine..
Nne: awe akiikalia mashine mimi nibaki nimeachama mda wote yaan awe ni zaidi ya Cherokee
Mwisho: awe tayari kulalia double deka