Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Unataka bwana? Mbona bado mdogo sana? Au ni single mother?Me, 28yo, NAMABENGO RUVUMA
Nashindwa kuwatambua "ke" kwa ID zao majina yana kutu sana,hivyoo "ke" wotee watakaokosa nafasi,,,mnitafute nipo hapa temeke nawasubirii
Wasalimie kwanjekaWale mlio tanga weeknd hii tupeane chocho [emoji5][emoji5]
Vipi Sandy360 nawakumbusha tu yaani kila mtu apatee #tokomezausingle[emoji1787]
Miss natafuta bdo hujapata mupenzi? Au ulitupiwa jini Maimuna??nipo hapa
Aiseee haaaa haaaaMnichek hap kibo rombo dsm ..karibu na baa ya dagadaga
Yupo seriousMwamba umetupia na namba !!!
🤣🤣🤣Watu wahuniii waume za watu mnatoa location za Nini mshindwee
AsanteeeeNaitwa Karim
Nipo kisarawe.
Jinsia Me
Marafiki jinsia ya kike karibuni.
KaribuI'm a gentleman
Niko udom, CHS
Natafuta rafiki wa kike