proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Kweli mwemweremwemwere...ha ha haaaaKama umepanga kustareheka leo njoo PM tuone siku inaishaje. dom hapa.
Namabengo ndio home japo mimi mzaliwa wa Namtumbo lakini nipo dar kwa sasa kukimbizana na life kibabeMe, 28yo, NAMABENGO RUVUMA
mganga wa jadi au mganga wa hospital za kisasa?44 ndo umri.
Mganga ndo kazi.
F 4 ndo elimu.
Me ndo jinsia.
Kivyovyote ukija ke nakupokea.
Unahitaji na wewe?mganga wa jadi au mganga wa hospital za kisasa?
nahitaji nini?Unahitaji na wewe?
Mwenza?nahitaji nini?
Wa jadi, na maruhanimganga wa jadi au mganga wa hospital za kisasa?
yaaaMwenza?
Weka wasifu wako watu waone.yaaa
Ulifanikiwa mkuu.Nani aje kwa pm tuyajenge nimechoka na upweke.
Unataka kamatia fursaUlifanikiwa mkuu.
๐๐๐๐Why not mambo mubashara.Unataka kamatia fursa
Aya bwana ngoja na mm nitafute wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Why not mambo mubashara.
Mhyaaa