Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mambo yasiwe mengi.
Natafuta mwanamke wakuanza naye maisha

Sitafuti hawara/mtu wa kupoteza muda.

Natafuta mke seriously

Usaili PM ipo wazi
 
Single mother Uje


Sifa Tabia na uwezo wangu Mimi

Age :30's
Shule : Degree mbili unusu
Kazi: Matumizi ya nguvu.
Hela: Napata nyingi
Tabia: napenda sana wanawake wenye matako makubwa hasa weusi.
Uwezo wangu: Katili sana, ila Mpole.


Mwanamke awe na
1. Tako kubwa kisiwe kifupi kama Sanamu la Michellin
2.Rangi Nyeusi
3.Age 30's
4.Dini : Yoyote ile isiwe ya shetani
5.Shule: Form 4+

Single mothers pia Hamna shida ila Mzazi mwenzie awe tyr kafariki Dunia... Nione Kaburi lake na hati ya kifo chake.

Wahini PM Faster .
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Umri: 25 - 33
Chama: CCM (awe na kadi hai ya uanachama)
Elimu: Shahada ya kwanza pia awe na angalau C ya hesabu kidato cha nne.
Dini: msabato.. ila kama sio msabato basi asiwe anakunywa pombe, kula kitimoto, kusuka nywele bali awe mpenzi mkubwa wa mboga za majani na nafaka.
Pia asiwe na mtoto wala mimba na awe tayari kwa ndoa ya kimila.
 
Mama samia unaoaje wakati wewe ni demu?
 
Unataka muajiri au mke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…