NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa.
Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana nafuu, bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Abdallah Posi, Albino flani (R.I.P), n.k.
Ila sasa kuna hawa walemavu ambao kufanya hata vitu vya kawaida inabidi watumie jitihada kubwa mfano wenye changamoto ya uono, usikivu kuongea, kutembea, n.k.
Ningependa huu uzi uwe maalum kwa kuwatambua watanzania wenye changamoto hizi ambao ni maarufu, wana vyeo, wasomi, wafanyabiashara, n.k. naamini nao wapo.