M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
It's painful story lakini zidi kupambana, tumia mbinu(strategies) za kila utakavyoweza. Tumia muda mwingi kufiri na ku-plan, kuhangaika sehemu tofautofauti bila ya kujipa muda mwingi kwenye kupanga mikakati utajichosha(you might be lucky hata kwa kuzunguka na kuvamia maofisi bila proper planning) naamini kwa kuwa kuna vitengo vya kiserikali vinavyosaidia watu wenye 'challenges' mbalimbali ungewabana sana mpaka uwe kero kwao hata kama unabaniwa tumia mbinu za kimafia kuwaona big bosses ambao kwa formalities za kiofisi hawafikiki, unamvizia mtu hata alipopaki gari mpaka akusikilize.Mimi nina disability ya kusikia,miguu na kutoona mbali Kwa uhalisia.Nimefanikiwa kupata shahada ya kwanza ya Takwimu.Kwenye maisha yangu ya Darasani ,sikuwahi kuandika sababu simsikii lecture Wala kuona ubaoni.Embu fikiria mtu unasoma Pure mathematics, then una hali kama yangu na bado una upass kama kawaida.
Kwenye kutafuta Ajira aisee ni kisanga,mpaka sasa nimefika oral interview ya Utumishi (PRSS),lakini kutokana na hali yangu nikashindwa fikisha 50% wanazozitaka. Nilitegemea wangejiongeza hata kunipa nafasi nami nionje mema ya nchi,wameniacha nipo tuu mtaani.
Inaumiza haswa ,ukizingatia bidii nilizofanya then naishia kuwa kitaa tuu.
Jaribu bia kwenda kwenye NGOs zinazosaidia watu wenye challenges kama zako, wakuunganishe sehemu au wao wenyewe wakupatie/wakutafutie kazi.
Easier said than done lakini ujue maisha ni kupambana hivyo usitegemee kwa eti binadamu wana huruma, la hasha.
No retreat no surrender [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]