angalia clouds mda huu umuoneHii inaweza kuwa motivational post pia kwamba disability is not inability
Najua wapo wanasiasa, wasomi, watuu maarufu wenye ualbino na hii ni sababu kwao bado wana nafuu wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, Albino flani (rip), n.k.
Ila sasa kuna hawa walemavu ambao kufanya hata vitu vya kawaida inabidi watumie jitihada kubwa mfano wenye changamoto ya uono, usikivu kuongea, kutembea, n.k.
Ningependa tuorodheshe hapa watanzania wenye changamoto hizi ambao wanaweza kuwa role models
Mimi nina disability ya kusikia,miguu na kutoona mbali Kwa uhalisia.Nimefanikiwa kupata shahada ya kwanza ya Takwimu.Kwenye maisha yangu ya Darasani ,sikuwahi kuandika sababu simsikii lecture Wala kuona ubaoni.Embu fikiria mtu unasoma Pure mathematics, then una hali kama yangu na bado una upass kama kawaida.Hii inaweza kuwa motivational post pia ya kuonesha kwamba ulemavu sio kushindwa kabisa.
Kwa upande wa albino nimewaacha maana kwao wana naduu bado wanaweza kusikia, kuongea, kuona, kufikiri, kutembea, n.k. hapa kuna kina Manara, Keisha, abdallah Posi, Albino flani (rip), n.k.
Ila sasa kuna hawa walemavu ambao kufanya hata vitu vya kawaida inabidi watumie jitihada kubwa mfano wenye changamoto ya uono, usikivu kuongea, kutembea, n.k.
Ningependa huu uzi uwe maalum kwa kuwatambua watanzania wenye changamoto hizi ambao ni maarufu, wana vyeo, wasomi, wafanyabiashara, n.k. naamini nao wapo.
Nafkiri kuna kitengo maalumu cha ajira ambao wanashughulika na watu wa aina yko hongera sanaMimi nina disability ya kusikia,miguu na kutoona mbali Kwa uhalisia.Nimefanikiwa kupata shahada ya kwanza ya Takwimu.Kwenye maisha yangu ya Darasani ,sikuwahi kuandika sababu simsikii lecture Wala kuona ubaoni.Embu fikiria mtu unasoma Pure mathematics, then una hali kama yangu na bado una upass kama kawaida.
Kwenye kutafuta Ajira aisee ni kisanga,mpaka sasa nimefika oral interview ya Utumishi (PRSS),lakini kutokana na hali yangu nikashindwa fikisha 50% wanazozitaka. Nilitegemea wangejiongeza hata kunipa nafasi nami nionje mema ya nchi,wameniacha nipo tuu mtaani.
Inaumiza haswa ,ukizingatia bidii nilizofanya then naishia kuwa kitaa tuu.
Hongera mkuu kwa kumaliza degree yako si kitu kidogo,Mimi nina disability ya kusikia,miguu na kutoona mbali Kwa uhalisia.Nimefanikiwa kupata shahada ya kwanza ya Takwimu.Kwenye maisha yangu ya Darasani ,sikuwahi kuandika sababu simsikii lecture Wala kuona ubaoni.Embu fikiria mtu unasoma Pure mathematics, then una hali kama yangu na bado una upass kama kawaida.
Kwenye kutafuta Ajira aisee ni kisanga,mpaka sasa nimefika oral interview ya Utumishi (PRSS),lakini kutokana na hali yangu nikashindwa fikisha 50% wanazozitaka. Nilitegemea wangejiongeza hata kunipa nafasi nami nionje mema ya nchi,wameniacha nipo tuu mtaani.
Inaumiza haswa ,ukizingatia bidii nilizofanya then naishia kuwa kitaa tuu.
Asante sana.Yaani ipo hivi ,ili upate kipaumbele Kwa mwenye ulemavu pindi unapo fika oral interview za Utumishi (PRSS).Inabidi kwenye oral interview upate 50% na zaidi ,isishuke chini ya hapo.Sasa.mimi nilipata chini ya hizo alama ,so wanasema siwezi kupata haki ya Ajira.Hongera mkuu kwa kumaliza degree yako si kitu kidogo,
Nigusiea hapo kwenye 50 %, hizo alama huwa ni maalum kwajili ya wenye ulemavu tu au?
Chuoni ulipewa mkopo ?
Ni ushauri upi unawapa wenye changamoto kama zako kwa mambo uliyopitia katika safar yako ya elimu na laiti ungekuwa unaweza kurudi nyuma basi ungeyafanyia marekebisho kuendana na soko la ajira au fursa zingine ?
Asante San,siasa nyingi mno kwenye hivyo vitengo, mimi mpaka sasa sijapata hizo nafasi wanazosema wanatoa,licha ya kufika hadi oral interview ya Utumishi (PRSS) .Watu wanatutumia Kupiga hela.Kama vipo mimi nipo hapa wanisaidie...Nafkiri kuna kitengo maalumu cha ajira ambao wanashughulika na watu wa aina yko hongera sana
Chuo sikupata Mkopo,licha ya kuomba na kukata rufaa.Wazazi wangu wamepambana hivyo hivyo hadi nikamaliza.Siyo kwamba Wana hela au ni matajiri.walijitoa kwenye hilo wakitegemea nitapa kazi nijitegemee.Hongera mkuu kwa kumaliza degree yako si kitu kidogo,
Nigusiea hapo kwenye 50 %, hizo alama huwa ni maalum kwajili ya wenye ulemavu tu au?
Chuoni ulipewa mkopo ?
Ni ushauri upi unawapa wenye changamoto kama zako kwa mambo uliyopitia katika safar yako ya elimu na laiti ungekuwa unaweza kurudi nyuma basi ungeyafanyia marekebisho kuendana na soko la ajira au fursa zingine ?
Sasa mkuu hio oral interview inakuwaje hapo kama husikii, naona kama hamuelewani inakuwa ngumu kutoboa hata hio 50%Asante sana.Yaani ipo hivi ,ili upate kipaumbele Kwa mwenye ulemavu pindi unapo fika oral interview za Utumishi (PRSS).Inabidi kwenye oral interview upate 50% na zaidi ,isishuke chini ya hapo.Sasa.mimi nilipata chini ya hizo alama ,so wanasema siwezi kupata haki ya Ajira.
Kwa mtu mwenye ulemavu,fani za kusomea ni Ualimu na udaktari....kwenye Ajira wanapewa kipaumbele kuliko sisi ambao tumesoma kada zingine na tunatumia mfumo wa Ajira Portal.
si kuna shule maalum wanaenda kufundishaSasa mkuu hio oral interview inakuwaje hapo kama husikii, naona kama hamuelewani inakuwa ngumu kutoboa hata hio 50%
Na hapo kwenye fani ya kusomea kuwa ualimu huwa nashangaa sana kwamba watu wenye changamoto ya usikivu ndio hushauriwa kuisoma, ni vipi mwalimu mwenye hii changamoto anaweza kufundisha ? namjua binti flani ni mwalimu lakini hadi leo sijui kabisa ni kwa namna gani anaweza kufanya kazi yake.
Mimi nilitegemea wangejiongeza ,kitendo Cha mimi kupass written interview na kufika oral kilikuwa ni ushahidi tosha kuwa ninaweza kazi.Sasa mkuu hio oral interview inakuwaje hapo kama husikii, naona kama hamuelewani inakuwa ngumu kutoboa hata hio 50%