Uzi maalum wa kuwatambua watu wenye ulemavu wa viungo waliofanikiwa ili kuwatia moyo wengine wasikate tamaa

It's painful story lakini zidi kupambana, tumia mbinu(strategies) za kila utakavyoweza. Tumia muda mwingi kufiri na ku-plan, kuhangaika sehemu tofautofauti bila ya kujipa muda mwingi kwenye kupanga mikakati utajichosha(you might be lucky hata kwa kuzunguka na kuvamia maofisi bila proper planning) naamini kwa kuwa kuna vitengo vya kiserikali vinavyosaidia watu wenye 'challenges' mbalimbali ungewabana sana mpaka uwe kero kwao hata kama unabaniwa tumia mbinu za kimafia kuwaona big bosses ambao kwa formalities za kiofisi hawafikiki, unamvizia mtu hata alipopaki gari mpaka akusikilize.
Jaribu bia kwenda kwenye NGOs zinazosaidia watu wenye challenges kama zako, wakuunganishe sehemu au wao wenyewe wakupatie/wakutafutie kazi.
Easier said than done lakini ujue maisha ni kupambana hivyo usitegemee kwa eti binadamu wana huruma, la hasha.
No retreat no surrender [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
PamOja sana ndugu yangu,nitafanya hivyo...Nashukuru Kwa kunipa maoni Yako.Barikiwa sana.
 
Kuna yule Mmarekani kama sijakosea, Hana miguu kabisa, naweza sema ni nusu mtu anayekimbia kwa mikono. Huwa namkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…