Kuna wanaonifananisha na Idris alba, na wengine Joe Thomas, I remember back in the day when I was a secondary school student, waskaji walikua wakinilazimisha ninyoe dongo but sikuweza. Nakumbumbuka nami niliingia king mpk nikaanza kupenda na ku kariri hit songs zake enzi hizo kama Good girls, all tht I am , love scene nk. Ila tushakua watu wazima sasa. Mwenye picha za hao jamaa please!