Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Mimi nshawahi simamishwa na mdada full tabasamu nakunikumbatia ghafla gari likaja akaniachia 10000 kadandia gari kanambia tutawasiliana kaishia hadi leo sijawahi muona tena sijui nafanana na nan?
 
Wengi tunatumia JF huku tukijaribu kuvuta mfanano wa wadau mbalimbali humu unaweza kuwaza yuko hivi kumbe yuko vile.

Kupitia huu uzi tunaweza kidogo kujenga picha akili unafanana na nani huwenda akawa ni maarufu au asiwe maarufu ila kama uliwahi kufananishwa na mtu yeyote ambaye jamii kwa kiasi kikubwa inamjua basi weka picha yake hapa.

Mnamo mwaka 2008 rafiki yangu alikuwa na picha ya John Mikel Obi kwenye Ofisi yake siku moja akaniambia ila unafanana na huyu jamaa kama ndugu yako. Haikupita muda siku moja Mama alinikuta nikiwa pale Ofisini nae kasema unafanana na huyo Jamaa kwenye picha (John Mikel).

Vipi kuhusu wewe. View attachment 835892
Walikudanganya wewe unafanana na Steven wasira
 
Sipendi ushahidi
IMG-20180912-WA0006.jpg
 
Huyu ndiye pacha wangu, ukiniona utafikiri ndiyo huyu jamaa, japo kwa sasa amezeeka,Picha zake alivyokuwa kijana ni copyright, kuna watu mpaka sasa unaniita Mkapa.
 

Attachments

  • 1536817641282.png
    1536817641282.png
    20.6 KB · Views: 34
Back
Top Bottom