Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Wakuu mimi watu wengi sana wananifananisha na "JIWE" kwa sura na misimamo yangu mikali na nisiyependa upumbavu kabisa!!
Please mwenye picha yeyote ya "Baba jesika" aitupie hapa[emoji12]
 
Mimi nafanana na Mama Getruda Mongela wengine wananiambia eti nafanana na Gaudensia Kabaka wengine wananiambia eti nafanana na Rais mstaafu wa Kenya Moi. Wenye picha zao tafadhali.
Moi? Yaani wakike ufanane na wakiume tena?[emoji15] [emoji15]
 
4000 au hii haitoshi kusajili line.
20180912_214354.jpg
 
Hapo nina BIMA ZA AFYA zangu za makampuni yote.

Sipendagi ujinga
IMG-20180818-WA0006-1.jpg
 

Attachments

  • IMG-20180818-WA0006-1.jpg
    IMG-20180818-WA0006-1.jpg
    47 KB · Views: 29
Back
Top Bottom