Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji4][emoji4][emoji4]They say nafanana na Rachel yule mwanamuziki ..mwenye kapicha anisaidie kutupia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4][emoji4][emoji4]They say nafanana na Rachel yule mwanamuziki ..mwenye kapicha anisaidie kutupia
Wow! Ahsante...yaan kila kona naambiwa nafanana naye had hayo macho makubwa hahahahahaha...mnaweza vuta picha sasa[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 945333
SaaanaaOoooohhh kweli........na unampenda kinomaa!!??
Kapicha mkuuWrite your reply...Asha boko mtupu
Mm nafanana na baba angu mkuuNilitegemea utupie na wewe Kapicha ka mtu mnaefanana.
Mikel nafanana nae kwa mujibu wa Maelezo ya Mama na Rafiki zangu wawili.
Copy yanguKapicha mkuu
Sasa naweza pata kaimage kako kwenye akili yangu hahahahahahaCopy yangu View attachment 945545
[emoji23][emoji23]Sasa naweza pata kaimage kako kwenye akili yangu hahahahahaha
Huyu hapa mimi kabisaaWow! Ahsante...yaan kila kona naambiwa nafanana naye had hayo macho makubwa hahahahahaha...mnaweza vuta picha sasa
HahahahaMm nafanana na baba angu mkuu
ha ha ha kenyonyoYaaap ndo tunafananaView attachment 835906
tessy duuh mbona mapoda mengi mengi...Leo nimekutana na mtu wa nne anasema nafanana na baby mama wa dogo aslay anaitwa Tessy ChocolateView attachment 839637
Ngada unakula?Wow! Ahsante...yaan kila kona naambiwa nafanana naye had hayo macho makubwa hahahahahaha...mnaweza vuta picha sasa
Hapana mkuuNgada unakula?
Mm nafanana na baba angu mkuu
tessy duuh mbona mapoda mengi mengi...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakufa mm jaman...hahahahahaha hapa nimecheka jaman..khaaa mm naambiwaga nimefanana na first lady wa zenji.. i mea mke wa Shein ..had mapigo tunapiga mapigo sawa au na mke wa mzee kibaki yule alofariki..alikua mtàta kwa wanahabari😅😅😂😂😂Mimi nafanana na Mama Getruda Mongela wengine wananiambia eti nafanana na Gaudensia Kabaka wengine wananiambia eti nafanana na Rais mstaafu wa Kenya Moi. Wenye picha zao tafadhali.