Mkuu ahsante sana. Bora huyo kuliko ningefanana na "JAMAA"Unafanana na 2pac.
Naona umefanana na "MWENYEWE"Kila siku wanadhani mm ndo. Msemaji wa chama.. Kumbe nimefanana nae tu. View attachment 838049
Hela wataka lkn no hutumi... [emoji23]Kuna hela au story???
Tatizo siwezi kuingia pm ila hela nataka. Embu njoo wewe pmHela wataka lkn no hutumi... [emoji23]
Naona umeweka kufuli...
Mbona inagoma sasa!
Hahahaaa, sio kwamba wewe ndio unaogopa kula adivansi?
Basi njoo uchukue..
Basi utakuwa "vere byutifu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nafanana na Mama Getruda Mongela wengine wananiambia eti nafanana na Gaudensia Kabaka wengine wananiambia eti nafanana na Rais mstaafu wa Kenya Moi. Wenye picha zao tafadhali.