Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanana na 2pac.
Sababu ya puruDu! Hii porus mbona imawashika jinsia ke hivi?
Hivyo tu ?ama kweli jinsia ke hamueleweki 😂Sababu ya puru
Girl Friend wangu Mmoja amewahi kudata kwa Kelvin Boateng.Huwa Naambiwa nafanana na Kevin Price Boateng ...nakumbuka mwanzo nilikuwa nachukia sana kuitwa Boateng but nilikuja kuzoea......mwenye picha ya huyo jamaa atupie please ni'remind!
Aisee kumbe akibahatika kuniona ninaweza kuwa na kesi na weweGirl Friend wangu Mmoja amewahi kudata kwa Kelvin Boateng.
Na haitatokea akuone Mkuu.Aisee kumbe akibahatika kuniona ninaweza kuwa na kesi na wewe
Teh teh teh Mkuu labda kama ameshakuwa R.I.P....Dunia duaraNa haitatokea akuone Mkuu.
USA ndo kahamiaTeh teh teh Mkuu labda kama ameshakuwa R.I.P....Dunia duara
Duh kumbe mshua! Nilijua Amina Kadala mkuuUSA ndo kahamia
[emoji23] [emoji23] Mwajuma Chaupele.Duh kumbe mshua! Nilijua Amina Kadala mkuu
Mkuu umewaza kama mimi.Naona wasiojulikana wako kazini
Eti wanadai kati ya makabira yasiyo na bahati ni wangoni sababu toka uhuru super staa pekee waliowahi kutoa ni bambo tu[emoji23]Asante kukufahamu. View attachment 835911
Hahahha Bambo kumbe Mngoni [emoji23] [emoji23].Eti wanadai kati ya makabira yasiyo na bahati ni wangoni sababu toka uhuru super staa pekee waliowahi kutoa ni bambo tu[emoji23]