Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Hahaha Kenyonyo Hatari sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kana swaga .haya ni baadhi ya maneno yake

Kenyonyo : i want to marry you
Demu: marry me ? No way i am a princess
Kenyonyo : and you will one day be a queen
[emoji23] eti nako ni kafalme
 
Afro ni hatari yule mtu. Yani unaeza angalia movie kwa subtitle usiipende lakini movie yake yeye utaipenda mno
(Kijana embu kwanza lete kitu kubwa,kopuro leo hata hatutaki kitu ndogo)[emoji23]
Ukisikia anasema Fumimi vyuana vyunapenda sana Madhahabu ujue huyo ni Mwafrika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nafananishwaga sana na hili lihuni aisee
08485ce98c8d74819cc99b4aa5aa86bf.jpg
 
Nimefanana Na Huyu Jamaa, Nilihisi Hivyo Nikaja Kuthibitisha Kwa Wadau Wa Chuoni.
MalcolmX.jpg
 
Back
Top Bottom