Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Si kweli.Imejengeka kwenye mbongo za watu kadhaa kwamba ni hivyo wakati si sahihi.Don't they have a word "LOVE" unto practice?Ewaaaa, na tarime imetumika kuwakilisha non romantic places
Twende chimbo la kwanza
Haijajengeka kwa bahati mbaya, kuna visababishi na ndiyo maana jeshi la polisi likaanzisha kanda maalum kuleSi kweli.Imejengeka kwenye mbongo za watu kadhaa kwamba ni hivyo wakati si sahihi.Don't they have a word "LOVE" unto practice?
Umeenda hiyo, andaa mtoko utoe na locationTwende chimbo la kwanza
Na Kanda maalumu "Ndalesalama" ilianzishwa kwa nini?Haijajengeka kwa bahati mbaya, kuna visababishi na ndiyo maana jeshi la polisi likaanzisha kanda maalum kule
Laanakhum
💯🤝Hapa kwa wapenzi wa kukaa bila nguo (nudists) ni mahali sahihi. Ukipewa funguo, umepewa Paradiso yako.
TrueKutotenda mapenzi ya Mungu pia ni umasikini mkubwa zaidi
HahaInategemea na ninyi wagongaji mnamkunaje. Kama unamkuna vizuri atarudi tu kwenye kakibanda kako
View attachment 2711517
Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri.
Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya machimbo makali ya bei rahisi lakini leo nitakupa mtonyo kidogo ili siku ukitaka mafaida usipate shida.
View attachment 2711518
Fuatana nami
Umeupiga mwingi! Kongole kwako!View attachment 2711517
Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri.
Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya machimbo makali ya bei rahisi lakini leo nitakupa mtonyo kidogo ili siku ukitaka mafaida usipate shida.
View attachment 2711518
Fuatana nami
Eti njoo uiponye roho yako! Hahahahaha...! Nimecheka sana!View attachment 2711524
View attachment 2711525View attachment 2711526
Kwanini usije kutulia kwenye hii pepo ndogo? Pepo hii yenye vyumba vitatu vya kulala ni muafaka sana kwenu, hasa mkitaka kutoka kwa mapumziko kama familia.
Pia washikaji na pisi zenu kali, mnaweza kuamua kujitoa out mkaingia Ijumaa baada ya kazi, mkatoka jumapili usiku.
Njoo uiponye roho yako kwa shilingi 100,000 tu kwa siku.
Bustani nzuri zenye ndege, na vipepeo, zitakusahaulisha machungu yote ya mauzo ya bandari.
Thank youUmeupiga mwingi! Kongole kwako!