Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Ghafla wazo la kuoga nali cancel naamua kwenda kunawa tu uso nawaza kwamba Jana nilioga usiku na hiki kibaridi nafanya hivo ili kuondoka mapema kumuwahi Thom kazini
Nachukua maziwa na kuanza kunywa lakini ghafla bahati mbaya maziwa yananimwagikia baada ya kujigonga katika mlango
So naamua kwenda kuoga kwa sababu ya maziwa kunimwagikia.nampigia simu Thom na kumpa update.
Baada ya kurudi kuoga naanza kunywa maji na kumaliza glass tatu Kisha nachukua tende na kuanza kuzila
Naondoka kupanda gari linaloelekea MAKUMBUSHO mida ya 06:20 asubuhi
 
Katika gari nafanikiwa kutazama sunrise na kukumbuka ile sunset ya Jana ambayo niliitazama ofisini kwa mtu wa MUNGU katika location nzuri sana..
Nampigia simu Thom na ananipa habari fulani kuhusu mabadiliko fulani katika kazi.lakini tunapeana Moyo Kuwa kabla ya saa moja tutaifanya kazi hi mpya.njiani
Time 06:30
 
Nikiwa katika gari navaa earphone zangu za REDBAT na connect Bluetooth na kuanza kula ngoma
JE WAJUA..naiweka repeat
GHETTO AMBASSADOR
 
Nikiwa Niko break kidogo katika kazi nakutana na mtu wangu anayeitwa yona.huyu Ni Kama nabii fulani,yupo katika kanisa Ni mtu wa MUNGU na mwanamaombi mazuri nimewahi kumshuhudia juu ya ghorofa akifanya sala.yona ananiambia mbona muda unaenda na sijataka kuungana naye katika safari ya kwenda mbinguni..nimemjibu kwamba Mimi/sisi tunafanya kazi na Mungu na tunapata amani na faraja katika moyo .Yona amenigusia Kuwa Ni sawa lakini lazima tuuvue mzigo wa dhambi..nimemwambia haina shida amesema nimtafute
Baada Kama ya dakika kumi nakutana na mtu wa MUNGU mtumishi abeli yeye Ni mtu muhimu sana amenisalimia kwa kunikumbatia na ameni challenge kwanini sionekani sijampa update yoyote juu ya kazi aliyonituma ya kutafuta anuani za makanisa fulani.nimeona aibu sana sijamjibu kitu..
Tumeachana naye tuko na Thomas huyu Ni mtu wa MUNGU shahidi wa yehova na Ni rafiki yangu wa karibu nimemsindikiza sehemu kupata chai..nimeulizia maziwa mtindi hawana so nimekosa Cha kula..
Time 08:50---09:10
 
Spiritual:Kuna roho fulani inanivuta nikafanye dhambi fulani ambayo Jana nimeweza kuikwepa..wazo linaendelea kuja najaribu kulineglet naomba mwenyeziMungu nifanikiwe kuliepuka.nadhani njia pekee Ni moja tu nibaki na Thom mpk saa nane.
 
Zimekuja option chache katika menu ya vyakula,vitafunwa na vinywaji
Lakini kwa kufikiria nimeona nichukue maji makubwa kwanza
 
Thomas anapata chai na chapati mbili Kama kawaida..tunaongea Mambo kadhaa lakini kubwa Ni namna ya kuzuia kupata kitambi.nimemshauri aache kutumia nyama akasema hataacha nyama Ni tamu sana atatumia na kufanya mazoezi .eti Ni assume mezani Kuna kaugali na kitimoto na limau na pilipili...mate yakanijaa [emoji16][emoji16]....kafaida ya kakitambi anachokataka Ni kufutia simu yaani Kuna sehemu mbili za kufutia simu tumbo na kalio..kitambi moderate muhimu..
Tumeondoka tumeelekea kwenye kazi yetu
Thomas kaniomba simu yangu asikilize mzike kidogo nikamuomjesha track ya songa akaniuliza Kama nampenda songa sana
Nikampelekea YouTube akaishia ku search performance ya fid q ngosha sauti za busara..mtandao mbovu video hai play..kaniacha kaenda kuchaji simu yake lakini umeme unakatika mahali nilipo
Time 09:40
Location😀R
 
Hii lazima uchoke na upotee kwa muda,,, utaweza mpka mwaka uishe wa pili na kuendelea??
 
Hii ni tamthilia au Riwaya? Lengo ni kitu gani hasa mkuu?
 
Tusingizie majukumu kaka...salama lakini!??

Usalama upo ndugu yangu. Acha tuendelee kuifuatilia hii Filamu tuone mwisho wake.
Sijujua ndege JOHN anatumia vigezo gani kuamua matukio gani aandike na yapi aache, au anaandika yote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…