ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #81
Ghafla wazo la kuoga nali cancel naamua kwenda kunawa tu uso nawaza kwamba Jana nilioga usiku na hiki kibaridi nafanya hivo ili kuondoka mapema kumuwahi Thom kazini
Nachukua maziwa na kuanza kunywa lakini ghafla bahati mbaya maziwa yananimwagikia baada ya kujigonga katika mlango
So naamua kwenda kuoga kwa sababu ya maziwa kunimwagikia.nampigia simu Thom na kumpa update.
Baada ya kurudi kuoga naanza kunywa maji na kumaliza glass tatu Kisha nachukua tende na kuanza kuzila
Naondoka kupanda gari linaloelekea MAKUMBUSHO mida ya 06:20 asubuhi