Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Unaonekana handsome gentleman wa nguvu..utakuta una career yako huko mfano mwanasheria..bila humu unaandika mambo ya kibangebange sana..
Behaviourist
Me
Screenshot_20190512-145809.jpeg
 
Tunapenda sana kula chapati ambazo hazikaangwi na mafuta yaani kavu kabisa..Ni nzuri sana kuzila na choroko au maziwa mgando.saa tatu na dk 25 tunapata breakfast ya chapati mbili na maziwa.chapati za bila mafuta zinakuwa sio tamu sana lakini Ni nzuri sana kwa afya mgando
1557728516600.jpeg
 
Seat ya kwanza kabisa mbele kwa dereva nikipanda daladala kituo Cha ubungo darajani.kimvua Ni Kama kawaida
Spiritual life mda huuhuu wa saa nane nimetoka kuruka mtego fulani wa DHAMBI nilipanga nikitoka hapa nikafanye dhambi fulani lakini nimeikwepa.nakushukuru sana mwenyez Mungu Naomba nifike salama huko ninapoenda
1557746943123.jpeg
 
Ugali dona+matembere.. matembere Ni mboga Bora kabisa kwa watu wazima wenye matatizo ya pressure kabichi pia inafaa sana .
Location: tabata kimanga
Time 15:15
1557749581364.jpeg
 
Tikitimaji litabaki Kuwa juu.tunda Bora kwa wenye kusumbuliwa na matatizo ya moyo..
Time 15:27
Je leo tunafanya mazoezi kama kawaida yetu??sijajua lakini kwanza ni Maandalizi:dakika 15 za meditation Kisha mambo mengine yaendelee
1557750340506.jpeg
 
Hatukufanya tahajudi badala yake tumeanza na kujifunza mambo ya mengi Ili tujue ukweli wenye uhakika.
Time:saa 11
Location:sehemu fulani tu ambayo ibada imefanyika
 
Kabla ya kufanya yoga possess mbalimbali na watu wa MUNGU ambaye tunashukuru sana yeye na mke wake wamefurahi sana na wametuuliza maswali mengi kama jinsi ambavyo mtu wa MUNGU amekuwa akitaka
Tumegusia juu ya habari ya adamu kuumbwa miaka 6000 iliyopita
Katika biblia kutoka adamu mpk nuhu = miaka1056 habari hii Ni katika mwanzo 5
Kutoka kipindi Cha nuhu mpaka mafuriko Ni miaka 600
Kutoka mafuriko mpaka Abraham Ni miaka 292 nadhani mwanzo 11
Kutoka Ibrahim mpk yakobo miaka 290
Kuanzia anpoingia misri mpaka atoke Ni miaka 430
Kutoka Misri mpaka Suleiman anapojenga nyumba ya bwana ni miaka 480
Kutokea kwa Suleiman mpk nyakati za yesu ni miaka 966.hii IPO hata katika world's history
Yesu mpaka Sasa hivi Ni miaka 2019
Jumla ni miaka 6133
UFUNUZI
Miaka hiyo tumeiangalia kwa kujumlisha kutokea adamu akimzaa Seth akiwa na miaka 130,seth anampomzaa anosh alikuwa 105,anosh alikuwa 90 akimzaa kenan,kenan 70 alivomzaa malalel, malalel 65 akimzaa yared,then yared 162 akimzaa henoko,henoko 65 akimzaa methusela,methusela 187 kwa lamek,lamek 182 kwa nuhu...kwa nuhu mpk mafuriko Ni miaka 600...Kuna mtoto wa nuhu anazaliwa miaka miwala baadae yeye anazaa akiwa na 35 anamzaa shela,shela yeye 30 akimzaa ebero,eberi 34 akimzaa pelegi,pelegi 30 akimzaa serugi, serugi 32 akimzaa nahori,nahori 30 alimvomzaa Tera nantera 70 akimzaa ibrahimu.ibrahim yeye 100 akimzaa isaka na isaka 60 kwa yakobo.yakobo 130 mpaka mwanae anapoenda kuonana na farao...jumla kuu Ni 6133 Kama tulivoangalia mwanzo..

Maswali ya kujiuliza
1.inaonekana adamu binadamu wa kwanza ameishi 6000 iliyopita wakati Kuna majengo yamekuwepo kwa miaka 10000 mpaka sasa.so tumeondoka na wazo moja kwamba vitabu hivi vimejaa mashaka mengi
Lakini hatudharau vitabu vya dini tunathamini sana walichokifanya kwa uelewa waliokuwa nao kipindi kile wamejitahidi sana
2.hivi daudi na Suleiman walikuwa Ni wafalme wakubwa na wenye utajiri
Hapana tunagundua kwamba kwa nyakati hizo inawezekana daudi alikuwa Ni Kama mwenyekiti wa Kijiji tu.yaani zamani ukiwa na mbuzi 100,na punda 50 tayari wewe Ni tajiri..
KIKUBWA KABISA NI KWAMBA DINI NI NJIA AMBAYO MTU ANATUMIA KUMTAFUTA MUNGU LAKINI HATUWEZI KUPATA AMANI YA MOYO MPAKA TUTAMBUE UKWELI NA TUHANGAIKE KUIJUA KWELI..TUNAKOSEA KULISHA MOYO MAMBO AMBAYO SIYO CHAKULA CHAKE..KUTENDA MEMA KUTAUPA MOYO AMINA.TUMEENDELA KUONGEA MENGI SANA
 
Baada ya hapo tumeanza kucheza tennis outdoor katika uwanja sehemu isiyotereza.tumetumia dakika 10-20..manyunyu yanapoanza tunasitisha mvua siyo nzuri inaweza kutuumiza
Tunarudi katika ofisini kwetu(nyumba ya ibada)..tunafanya mazungumzo kuhusu truth knowledge,, msaada wa partially knowledge tunathamini sana vitabu vya Mungu.na hasa miongozo ya kimaadili ambayo inamfanya mtu awaze vizuri.tumegusia ukweli kuhusu kauli ya Mungu mmoja...namba moja inatumika kwa vitu ambavyo Ni countable yaani chenye mwanzo na mwisho,lakini Mungu hawaziki kihivyo


Tunarudia kuhusu uwepo wa shetani na uchawi na kwa pamoja tumekubaliana kwamba hakuna shetani Wala hakuna uchawi.. absence if goodness watu wamekuwa wamekuwa wakidhani ndio shetani


Swali kuhusu ajali za barabarani..limejibiwa msisitizo umeweka kwenye Kuwa makini Zaidi tunapokuwa barabarani..

Vitabu vya kiroho vinapaswa visomwe bure na sio vya biashara.. wengi wapo kitapeli tapeli .kitabu Cha MUNGU hakipaswi Kuwa na maneno mengi..hata mtu wa MUNGU hapaswi kuongea maneno mengi kwani atarudia rudia na kutengeneza error.tumeendelea kuongea mengi na tunatoka nje kuangalia Hali ya hewa..
Mtu wa MUNGU aligusia kuhusu tabiri za Hali ya hewa kwanini hazisemi ukweli?
Tunathamini sana wanachofanya tofauti na ulaya wenye vifaa vya kisasa..tumeendelea kuongea kwa ufupi
 
Anakuja mzee wetu na tumemwagiza akachukue dawa dukani kwa omary...
Anapoondoka anakuja ASKARI POLICE KATIKA GARI ndani Kuna K VANT MBILI AMBAYE ANAANZA KUNIHOJI MASWALI
1.HUYO MTU NI NANI? DKT
2.ANATOKA WAPI? P
3.ANAKAA WAPI?LW
4.DAWA ZIKO WAPI?NDANI
5.KAPANGA?SIJUI,SINA MUDA MREFU TOKA NIMFAHAMU
nimejaribu kuficha taarifa
Napata wasiwasi na maswali yake.NAPORUDI SITOI HIO HABARI NAONDOKA
 
Wasiwasi wangu Ni kwa sababu ya habari mbili
1😛icha yangu nje ya location (je amenifuatalia na yupo kikazi)?
2:je anamchunguza DKT N.(MOJA YA MASWALI YAKE JE ANA KIBALI CHA KUFANYA HIO KAZI)


KAMA JIBU NAMBA MOJA NDILO BASI AJUE SISI HATUOGOPI KUFA NA TUNAHESHIMU SANA SHERIA..KWA NAMNA YOYOTE ILE TUTAZIDI KUJIFUNZA MAMBO YA MUHIMU AMBAYO MUNGU AMETAKA WANADAM WAFANYE
NAMNA/NINI YA KULA ,JAMBO LA KUFANYA N.K..NAPOFIKA napumzika Kidogo na kukumbuka maji
 
Back
Top Bottom