Kabla ya kufanya yoga possess mbalimbali na watu wa MUNGU ambaye tunashukuru sana yeye na mke wake wamefurahi sana na wametuuliza maswali mengi kama jinsi ambavyo mtu wa MUNGU amekuwa akitaka
Tumegusia juu ya habari ya adamu kuumbwa miaka 6000 iliyopita
Katika biblia kutoka adamu mpk nuhu = miaka1056 habari hii Ni katika mwanzo 5
Kutoka kipindi Cha nuhu mpaka mafuriko Ni miaka 600
Kutoka mafuriko mpaka Abraham Ni miaka 292 nadhani mwanzo 11
Kutoka Ibrahim mpk yakobo miaka 290
Kuanzia anpoingia misri mpaka atoke Ni miaka 430
Kutoka Misri mpaka Suleiman anapojenga nyumba ya bwana ni miaka 480
Kutokea kwa Suleiman mpk nyakati za yesu ni miaka 966.hii IPO hata katika world's history
Yesu mpaka Sasa hivi Ni miaka 2019
Jumla ni miaka 6133
UFUNUZI
Miaka hiyo tumeiangalia kwa kujumlisha kutokea adamu akimzaa Seth akiwa na miaka 130,seth anampomzaa anosh alikuwa 105,anosh alikuwa 90 akimzaa kenan,kenan 70 alivomzaa malalel, malalel 65 akimzaa yared,then yared 162 akimzaa henoko,henoko 65 akimzaa methusela,methusela 187 kwa lamek,lamek 182 kwa nuhu...kwa nuhu mpk mafuriko Ni miaka 600...Kuna mtoto wa nuhu anazaliwa miaka miwala baadae yeye anazaa akiwa na 35 anamzaa shela,shela yeye 30 akimzaa ebero,eberi 34 akimzaa pelegi,pelegi 30 akimzaa serugi, serugi 32 akimzaa nahori,nahori 30 alimvomzaa Tera nantera 70 akimzaa ibrahimu.ibrahim yeye 100 akimzaa isaka na isaka 60 kwa yakobo.yakobo 130 mpaka mwanae anapoenda kuonana na farao...jumla kuu Ni 6133 Kama tulivoangalia mwanzo..
Maswali ya kujiuliza
1.inaonekana adamu binadamu wa kwanza ameishi 6000 iliyopita wakati Kuna majengo yamekuwepo kwa miaka 10000 mpaka sasa.so tumeondoka na wazo moja kwamba vitabu hivi vimejaa mashaka mengi
Lakini hatudharau vitabu vya dini tunathamini sana walichokifanya kwa uelewa waliokuwa nao kipindi kile wamejitahidi sana
2.hivi daudi na Suleiman walikuwa Ni wafalme wakubwa na wenye utajiri
Hapana tunagundua kwamba kwa nyakati hizo inawezekana daudi alikuwa Ni Kama mwenyekiti wa Kijiji tu.yaani zamani ukiwa na mbuzi 100,na punda 50 tayari wewe Ni tajiri..
KIKUBWA KABISA NI KWAMBA DINI NI NJIA AMBAYO MTU ANATUMIA KUMTAFUTA MUNGU LAKINI HATUWEZI KUPATA AMANI YA MOYO MPAKA TUTAMBUE UKWELI NA TUHANGAIKE KUIJUA KWELI..TUNAKOSEA KULISHA MOYO MAMBO AMBAYO SIYO CHAKULA CHAKE..KUTENDA MEMA KUTAUPA MOYO AMINA.TUMEENDELA KUONGEA MENGI SANA