Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EMS ni Tshs15,000/=mkuu 5000 mbona nafuu sana, acha kulialia! kama vipi ungepanda basi ulipe nauli ili upeleke hiyo bahasha mwenyewe
kwan EMS ya posta ungelipa shilingi ngapi unadhan?
Tatizo sio wateja wote waaminifu...Unawezakuta kinasafirishwa kitu muhumu sana na kikipotea risk na gharama inakua zaidi ya iyo elfu 5...Na endapo bahasha ikipotea malalamiko yanakua makubwa sana..Vinginevyo Mkuu tafuta kwenye gharama nafuu
Unataka uwape buku ...Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
2000 sema siamini huduma yao kbskwan EMS ya posta ungelipa shilingi ngapi unadhan?
TCRA wanasimamia huduma ya posta na kusafirisha parcel ndio maana nao nimewajumlisha katika kilio changu ili waweze kutoa bei elekezi mkuu. Najua fika kama TRA ni kodi na ushuru na utoaji wa EFD. Kuna lingine labda usiache kujifukiza kwenye joto la nyuzi 100TCRA wanahusiaje na risiti y EFD?
Sema TRA jombaa!
Kunywa bia baridi nakuja kulipa chap.
Unalaumu Posta au Shabiby? Sasa hivi Posta kutuma barua kwa EMS ni shilingi 15,000. Barua hiyo hiyo hapo Shabiby ni shilingi 5,000. Kwa Posta uhakika wa kufika kwa haraka ni majaaliwa. Kwa basi ni mapema zaidi. Chagua ni lako.Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnunulie mama'ko simu uwe unaongea nae na kumtumia msgs. Upo kizamani zaidi.Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna ems ya bei hiyo mkuu.
Kuna tofauti ya kutuma barua na kutuma parcel mimi nilikuwa natuma barua ambayo hata ningekukuta unaenda Dodoma ungeichukua na kuiweka mfukoni tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusamehe bure sababu ya mfungo lakini ungesoma vizuri kisha ungeingiza kauli ngumu na ya kukera.Si mnunulie mama'ko simu uwe unaongea nae na kumtumia msgs. Upo kizamani zaidi.
EFDUsiharibu majina ya watu kisa ubakhili wako.. unajikuta smart kweli.. ungeenda posta..
shabash!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums