Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

We jamaaa mpumbavu sana na inaelekea ni mara yako ya kwanza kuagiza vifurushi.

acha ushirikina wa kuwazibia rizki wenzio.
ungetuma kwa whatsup bas.

Kama elimu ni ghali jaribu ujinga.
 
Posta kutuma barua Dar to Dom zilikuwa hazipungui siku 14 jiongeze mkuu acha umama

Sent using IPhone X
 
Imagine kama vyeti vipotee
Tatizo sio wateja wote waaminifu...Unawezakuta kinasafirishwa kitu muhumu sana na kikipotea risk na gharama inakua zaidi ya iyo elfu 5...Na endapo bahasha ikipotea malalamiko yanakua makubwa sana..Vinginevyo Mkuu tafuta kwenye gharama nafuu

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.

Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.

Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uwape buku ...
Mbona kawaida sasa hiyo 5000 na hilojambo unalotuma kipi kinathamani
 
TCRA wanahusiaje na risiti y EFD?
Sema TRA jombaa!
Kunywa bia baridi nakuja kulipa chap.
TCRA wanasimamia huduma ya posta na kusafirisha parcel ndio maana nao nimewajumlisha katika kilio changu ili waweze kutoa bei elekezi mkuu. Najua fika kama TRA ni kodi na ushuru na utoaji wa EFD. Kuna lingine labda usiache kujifukiza kwenye joto la nyuzi 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCRA wanatoa leseni za kusafirisha parcel na kampuni zote zilizo na leseni hizo za usafirishaji wa parcel wanatoza elfu tano kwa bahasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiharibu majina ya watu kisa ubakhili wako.. unajikuta smart kweli.. ungeenda posta..
shabash!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.

Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.

Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unalaumu Posta au Shabiby? Sasa hivi Posta kutuma barua kwa EMS ni shilingi 15,000. Barua hiyo hiyo hapo Shabiby ni shilingi 5,000. Kwa Posta uhakika wa kufika kwa haraka ni majaaliwa. Kwa basi ni mapema zaidi. Chagua ni lako.
 
Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.

Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.

Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnunulie mama'ko simu uwe unaongea nae na kumtumia msgs. Upo kizamani zaidi.
 
Angalia Na Delivery Time One Vs Week kadhaa ukitumia njia ya posta even posta ukitaka mzigo ufike kwa fasta same barua you pay not less than 10000/= Almost bei ya Shabiby ni nafuu
 
Back
Top Bottom