Nimekusoma vizuri na nimeelewa kuwa ni fataani.Nimekusamehe bure sababu ya mfungo lakini ungesoma vizuri kisha ungeingiza kauli ngumu na ya kukera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiyo unaona bei kubwa jaribu kupeleka fomu yako ya maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa bodi kwa husika ukiwa dar ni tshs 5000. Mikoani uliza utashanga. HIYO BEI NAFUU SANA KWA MTU BINAFSI. Posta licha ya kupewa ruzuku bei zao ndio hizo.Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Uchawi Mkuu,.Hizo Waluguru wanaita Kazopata.Rufiji dam,
Huyo ni bepari na kila mwezi ana top officials ambao wako kwenye payroll yake
Jr[emoji769]
Wewe inaonesha una shida zako binafsi, haswa mgogoro wa nafsi. Posta zipo Tanzania Nzima labda kama Mama yako anaishi kijijini sana ambako hakuna ofisi za Posta. Sijaona Mantiki ya wewe kuwaombea Posta walaaniwe wakati tatizo ni wewe au huyo Mama yako kuwa sehemu ambayo huwezi mfikishia barua kwa urahisi. kitu kingine pia inaonesha hauna exposure na mambo ya posta yanavyokwenda pamoja na gharama zake kwa sasa.Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnunilie simu mama mkuu, hata kwa mwezi akienda kuichaji km 5 toka nyumbani sio mbaya! Unatafuta simu tochi ile ya betri balaa. Siku sita au saba.Nimekuwa mtumiaji mbobezi katika huduma za kampuni ya usafirishaji abiria ya Shabiby. Hawa jamaa kama kawaida ya makampuni mengine ya kusafirisha abiria wamejitosa katika utoaji huduma ya kusafirisha vifurushi.
Nimeshangazwa na kitendo chao cha kunitosa hela nyingi kwa kusafirisha bahasha tu. Tena bahasha ndogo mno mfano wa barua ya kupeleka kijijini kumsalimia mama kwa TSHS.5000. Posta mlaaniwe kwa kudhohofisha huduma hii.
Pamoja na kuchukuliwa 5000 yangu naendelea na masikitiko yangu kumbuka mimi ni raia safi na mpenda maendeleo huku nikiunga mkono jitahada za Serikali ya Awamu ya Tano. Hawa jamaa hawatoi Risti ya EFD. TCRA mpo wapi. Yaani bahasha ya kuweka stemp kutoka Dar mpaka Dodoma kweli 5000 na Risti hakuna nyie Shirika la Posta mlaaniwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
DigoyaaMsinda Hani?
Shida kubwa wa Tanzania tunajidai matajiri sana mtu akilalamika kuhusu kiasi fulani cha pesa kinaonekana kidogo ila kihalisia wengi sana tu wamasikini. Najielewa kutokana kiwango cha pesa nilichotozwa.
Nalalamika sababu ya nilichokituma hakina value ya 5000.Uelewa unahitajika hapa.
5000 ni kawaida Kwan parcel zingine ni confidential sana. Unapolalamika na kuyaita majeshi yote ya nchi hii unadhihirisha ulichokituma hakikuwa na uzito Sana kwako.
Chukulia mfano unatuma vyeti na nyaraka muhimu alafu zikapotea, labda tu katka kutuma nyaraka na barua hizi kuwepo na uwazi ili lolote likitokea kampuni husika inakuwa responsible.....sio kupokezana dirishani Kama vile unatoa rushwa.
Akili zako sijui kama zipo sawa ama una shida sehemu ebu soma vizuri halafu ujibu.Wewe inaonesha una shida zako binafsi, haswa mgogoro wa nafsi. Posta zipo Tanzania Nzima labda kama Mama yako anaishi kijijini sana ambako hakuna ofisi za Posta. Sijaona Mantiki ya wewe kuwaombea Posta walaaniwe wakati tatizo ni wewe au huyo Mama yako kuwa sehemu ambayo huwezi mfikishia barua kwa urahisi. kitu kingine pia inaonesha hauna exposure na mambo ya posta yanavyokwenda pamoja na gharama zake kwa sasa.
Msipende sana kuja mitandaoni kuja kuharibu biashara za watu kwa matatizo yenu binafsi.
Kama wewe uko so smart kamfungulie Mama yako sanduku la Barua ili kuepuka Gharama.
Mkuu nadhani kwa mchango wako huu naomba sote tubarikiwe. Hakuna bei elekezi shida humu kuna watu wanaona 5000 ni ndogo kwa kutuma barua ya kawaida sana. Barikiwa mkuu.wenye mabasi na madalali njooni mtupostie bei za kusafirisha bahasha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la Posta limelala. Huu ndiyo ulikuwa wakati wa wao kuwa wabunifu na kuteka soko la usafirishaji wa bidhaa Tanzania nzima. Wao wamekalia ufanyaji kazi wa kizamani.Hakuna cha risk wala nini, hata kikipotea haulipwi. Inakula kwako tu.
Hahahahahaha daah kweli wewe ni mwehu sana. Nimetumia posta toka miaka hiyo ya kutuma telegram kwa sent 50. Wewe zwazwa mnoWewe inaonesha una shida zako binafsi, haswa mgogoro wa nafsi. Posta zipo Tanzania Nzima labda kama Mama yako anaishi kijijini sana ambako hakuna ofisi za Posta. Sijaona Mantiki ya wewe kuwaombea Posta walaaniwe wakati tatizo ni wewe au huyo Mama yako kuwa sehemu ambayo huwezi mfikishia barua kwa urahisi. kitu kingine pia inaonesha hauna exposure na mambo ya posta yanavyokwenda pamoja na gharama zake kwa sasa.
Msipende sana kuja mitandaoni kuja kuharibu biashara za watu kwa matatizo yenu binafsi.
Kama wewe uko so smart kamfungulie Mama yako sanduku la Barua ili kuepuka Gharama.
Okay tuachane na 5000 ambayo nimelipa vipi kuhusu EFD maana nilichotoa ni pesa ya kuendeshea biashara yangu naweza kuclaim kwa viristi hivi vya kariakoo.Nimekusoma vizuri na nimeelewa kuwa ni fataani.
Kama 5,000 imekutia uchungu kwanini usitumie usafiri mwengine kusafirisha, bahasha yako?walikulazimisha au ulifikiri Ile ni sadaka? Ile ni biashara na elewa kuwa biashara ile wanailipia kodi ya makadirio ambayo tayari imepangwa, wasafirishe kibahasha chako wasisafirishe wanalipa kodi walizopangiwa.
Kamnunulie mama'ko simu acha porojo na ubahili.
Leo kuna mfungo wa nani?
Tanzania wanaanza kufunga kesho, Bwabwaja tu.
5000 mbona ni Bei ya kawaida sana kwenye kutuma Parcel.
Kwako hakina value hiyo lakin kwao kina value Sana na ndio maana yawezekana kimefka kwa mlengwa