FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nimekusoma vizuri na nimeelewa kuwa ni fataani.Nimekusamehe bure sababu ya mfungo lakini ungesoma vizuri kisha ungeingiza kauli ngumu na ya kukera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 5,000 imekutia uchungu kwanini usitumie usafiri mwengine kusafirisha, bahasha yako?walikulazimisha au ulifikiri Ile ni sadaka? Ile ni biashara na elewa kuwa biashara ile wanailipia kodi ya makadirio ambayo tayari imepangwa, wasafirishe kibahasha chako wasisafirishe wanalipa kodi walizopangiwa.
Kamnunulie mama'ko simu acha porojo na ubahili.
Leo kuna mfungo wa nani?
Tanzania wanaanza kufunga kesho, Bwabwaja tu.