Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

Mpigie simu mama au andika msg halafu nitumie pesa kwa mpesa anunue hitaji lake. Mbona vijana hamtaki kutumia teknolojia kwa bei rahisi?
 
Okay tuachane na 5000 ambayo nimelipa vipi kuhusu EFD maana nilichotoa ni pesa ya kuendeshea biashara yangu naweza kuclaim kwa viristi hivi vya kariakoo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Anza kwa kuelezea biashara zako, ambatanisha na leseni na usajili wake na weka kumbukumbu za malipo ya Kodi na hesabu zako za mapato na matumizi za kila siku ili nikupe ushauri wa kitaalaam.
 
Anza kwa kuelezea biashara zako, ambatanisha na leseni na usajili wake na weka kumbukumbu za malipo ya Kodi na hesabu zako za mapato na matumizi za kila siku ili nikupe ushauri wa kitaalaam.
Nimeanza kufanyabiashara kabla yako. Najua kila hatua na umuhimu wa risti na marejesho ya kodi ya mwezi na mwaka. Hauweleweki naona umekwazika kudai haki ya huduma ambayo mimi nimeona pungufu kiasi fulani. Wewe kama unauwezo wa kulipa bila kutathimini thamani ya pesa na huduma hayo ni maisha yako. Hii forum imekusaidia sana kuandika tofauti na hapo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuha ufanye wewe utuletee sisi sokomoko.

Mfanya biashara ana muda kupoteza JF kubishana 5,000? Ujuha huo.

Mfanya biashara analalamika bahasha ya kumpelekea mama'ke kuilipia 5,000?

Unapeleka hizo bahasha mara ngapi kwa siku?

5,000 hiyo ndiyo uje kuifungulia uzi humu? Si ungeenda kushitaki polisi au TRA? Huzijuwi ofisi zao zilipo?
 
Tuligarimika tena.
msipande Shabiby tena, kwani inaonesha mizigo hamkuiwekea alama
pandeni Machame. Kimotco, Kimbinyiko, Champion au Sharon
na ukipakia mzigo hakikisha umeuweka alama kubwa, ikiwemo jina na mkabidhi kondakta atakupa kipande cha nakala ya risiti au siti uliyokaa fuatilia Kimbinyiko
Shabiby tuachie wenyewe
 
Shabibby ni Mbunge wa Gairo Morogoro amekusikia na malalamiko yako atayapeleka Bungeni yashughulikiwe.
 
Bei ya kawaida hata ungeenda posta kulipa kwa EMS ingetumia gharama hiyo au zaidi. Tena kwa DHL nadhani ndio ungelipa hata elfu 10 au ishirini kwa bahasha.

Mkuu jitahidi kutumia alternatives nyingine kuliko kulalamika, kwani ulishikiwa bunduki usibadili basi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unajamba sana vipi kuna tatizo na kudai kwangu. Ukiona hakina maana ungekaa kimya hili ni jukwaa huru hauna mamlaka nalo wanaosimamia jukwaa hili nilichoandika wameona kina tija. Mtoto wa Shabiby nini maana unawashwa kila sehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe HOVYO kabisa kuna watu wanadai haki zao na kusikilizwa na kushughulikiwa na wahusika kupitia magazeti ya uhuru na Mzalendo unashangaa mimi kuleta lalamiko langu hapa. Uenda akili zimekuzidi umekuwa mwehu mpaka unapoteza maana ya wapi unaweza kuleta kero yako ikasikilizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiby wamulikwe
Posta walaaniwe
Omba lako litafanyiwa kazi
 
Haki yako? Wewe ufanye biashara bila kuomba risiti stahiki, unajuwaje kama haujachapwa na tapeli tu wa stendi?

Wewe unaejidai mfanya biashara eti usipewe risiti stahiki uikubali?

Au uliweka hela za mama kwenye bahasha ndizo zinakuuma?

Wewe dunia ya leo nani anatuma barua ya salaam sana ama baada ya salaam? Na nani anatuma hela kwenye bahasha?
 
Hapa lazima tukupe darsa.

Iwache ujuha siku zingine.

Umetumwa? Aliyekutuma hajajuwa kama anamtuma poyoyo!
 
Juha ni ww unajidai mjuaji wa kila jambo. 5000 ni yangu na mimi nimeleta hapa kama alarm ya wengine wakienda wawe makini. Kama ndio unatoa darasa kwa mtu kwa njia ya matusi na dhihaka basi kuna shida katika utoaji wako elimu. Jitafakari na ujipime kwa mizani mizito juu ya kauli zako. Wengine ukisoma wamechangia kwa kutoa njia mbadala wewe unakuja na maneno ya ajabu ambayo hayana hana utu. SIKUJIBU TENA LOLOTE MAANA UWEZO WAKO WA KUTANZUA JAMBO NI WA KIWANGO CHA CHINI SANA.
Hapa lazima tukupe darsa.

Iwache ujuha siku zingine.

Umetumwa? Aliyekutuma hajajuwa kama anamtuma poyoyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…