Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 424
- 950
Ni swali zuri kwn changamoto kubwa ya jambo hili ipo ktk utekelezaji ambapo kisheria anawajibika ni baba mwenye nyumba yako.Happy kwenye kumkata baba mwenye pango akikataa nachukua hatua zipi?
Lakini mbona hakuniomba mkataba wa pango aliniuliza tu ni wap unapofungua na mtaji wako ni sh ngapi
baada ya kumpa vielelezo vyote vya serikali ya mtaa?
Nashukuru sana mkuu nimekuelewa vizuriPia waweza kupitia mada hii hapa chini kwa ufafanuzo zaidi juu ya kodi kwa mfanyabiashara anaeanza biashara
MAKALA: Mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kodi kwa mtu anayeanza biashara - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inawezekana kwenda kubadilisha taarifa kama taarifa za mwanzo hukuzitoa kwa usahihi kutokana na kukosa uelewa?Je wajibu wako ulikuwa ni nini?
1. Ulikuwa na haki ya kuhoji kiwango hicho amekipata vipi hadi kukuambia ukalipie
Angalizo: lkn pia wkt wa kuomba TIN kuna vielelezo ambavyo uliambiwa kupeleka. Miongn ni pamoja na mkataba wa pango, picha, barua ya serikali ya mtaa na kujaziwa fomu. Laah, ulienda kama unataka TIN kwa ajili ya kupata leseni ya udreva then ukageuza maelezo ukasema utafanya biashara
2. Je alikuuliza eneo la biashara umepanga? Kama ndiyo alitumia maelezo haya ya kupanga na kufanya 'assumption' kutokana na udogo wa biashara na mauzo kuwa huenda walipa sh 20,000 kwa mwezi.
3. Kama hakukuuliza pia alifanya 'assumption' umepanga. Je kama unafanyia biashara kwako ulistahili kulipa? Jawabu NI HAPANA ila angekuuliza umelipia kodi ya jengo? Ambapo maeneo mengi ni sh 10,000 kwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu kila nikisikia habari zao nakumbuka deni la kodi 7mil hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inawezekana kwenda kubadilisha taarifa kama taarifa za mwanzo hukuzitoa kwa usahihi kutokana na kukosa uelewa?
Mkuu TEMBO WANGUnimeelewa kidogo....maana Mimi nikikatwa 14000, ndipo nipate tax clearence, hii ndio itapelekea kutafuta leseni ya biashara ya masuala ya tigo pesa na mpesa.....pia walinikadilia kiasi cha Kodi ninachotakiwa kulipa Kila mwaka......kama laki Mona hivi,wakini wakagawa kwa awamu nne.....swali langu kwanini nilipe Kodi hiyo ya Kila mwaka wakati nimekata leseni??? wajuzi nipeni elimu hapoo
Wakuu tambueni kuwa mchakato wote wa TRA na hizo fomu za Jiji / Manispaa / Miji ni free ila mtakuja kulipia leseni ( Kila halmashauri ina viwango vyake ) . Kodi ya TRA itategemea na mtaji unaotaka kuanza nao na busara ya ofisa wa TRADa umeniwahi mi mwenyewe ndo nataka kupata tin namba ya biashara duka la reja reja..ngoja tusubili muogozo.
Mfano mtaji wa milion 3.hapo mkuu Kwa dsm Kodi yke inakuaje na hio kupata tin number ni mpk uwe na frame tiyari waje waestimate jumla ya bidha au??Wakuu tambueni kuwa mchakato wote wa TRA na hizo fomu za Jiji / Manispaa / Miji ni free ila mtakuja kulipia leseni ( Kila halmashauri ina viwango vyake ) . Kodi ya TRA itategemea na mtaji unaotaka kuanza nao na busara ya ofisa wa TRA
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeeee maelezo haya mnayatoaga wapiNenda ofisi za halmashauri unayotaka kufanya biashara, watakupa fomu ambayo utaipeleka serikali ya mtaa unapotaka kufanyia biashara baada ya hapo utaenda TRA mahali ulipo, utapewa fomu ya maombi ya TIN mpya na TAX CLEARANCE . Mahitaji mengine utakutana nayo kwenye hizo fomu za Halmashauri na TRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nichukue nafasi hii kuelimisha na kueleza utaratibu kamili wa namna ya kupata TIN ya BIASHARA hapa maana yake kuna TIN si ya Biashara na process nzima ya uanzishwaji wa biashara kwa kujisajili TRA.Wakuu tambueni kuwa mchakato wote wa TRA na hizo fomu za Jiji / Manispaa / Miji ni free ila mtakuja kulipia leseni ( Kila halmashauri ina viwango vyake ) . Kodi ya TRA itategemea na mtaji unaotaka kuanza nao na busara ya ofisa wa TRA
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi mkuu, ila kwa sasa leseni unaomba online, nilienda halmashauri ndio nikaambiwa hivyo, na mimi pia niliomba online, link hii hapa Home - TNBPNaomba nichukue nafasi hii kuelimisha na kueleza utaratibu kamili wa namna ya kupata TIN ya BIASHARA hapa maana yake kuna TIN si ya Biashara na process nzima ya uanzishwaji wa biashara kwa kujisajili TRA.
1. Utaende ofisi za TRA utapatiwa fomu 3.
A. Fomu kwa ajili ya maombi ya TIN NB TIN UNAWEZA PIA JAZA MWENYEWE ONLINE LKN UTALAZIMIKA KUFIKA TRA KUPATA CHETI HALISI.
B. Fomu kwa ajili ya mwenyekiti wa mtaa au kitongoji ambacho utafanyia biashara yako
C. Fomu kwa ajili ya maelezo yako binafsi ambayo huwa Kurasa 3.
2. Ukishajaza hizo fomu utarudisha TRA sambamba na vitu vifuatavyo.
A. Mkataba wa pango wa sehemu ile ambayo utafanyia bishara yako, hapa kama hujapanga basi utalazimika kupeleka risiti ya kodi ya jengo inayoonesha jina sawa na lako au Barua ya mwenyekiti wa mtaa/kitongoji yenye kuthibitisha kuwa eneo lako sio la kudumu au ni banda la kuhamishikika na hujapanga.
B. Passport size zako 2 hizi ni kwa ajili kufungulia faili hapo TRA.
3. Utaratibu wa makadirio hufata hapa sasa huzingaitia MAUZO na sio MTAJI. NASISITIZA TENA HUZINGATINA MAUZO NA SI MTAJI. Lakini hapa pia unaweza KIJIKADIRIA KODI WEWE MWENYE KWA SHARTI LA KUFILE RETURN ZAKO KILA MWAKA.
4. Ukishakadiriwa kodi na kusaini sasa utatatikiwa kulipa angalau awamu moja + Zile kodi ya zuio na kodi ya stampu kama sehemu yako umepanga.
AFTER HIYO SASA UNARU TRA KUOMBA TAX CLEARANCE.
5. UKIPATA HIKO CHETI SASA NDIO UNAENDA HALMASHAURI KUANZA PROCESS ZA KUPATA LESENI YA BIASHARA.
NAAMINI KWA UCHACHE NIMESAIDIA WENGI NA NIMEELEWEKA.
Sent using Jamii Forums mobile app