Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaumizaa sanaa mbaymbaya zaidii Badooo watuu WAHUSIKA wakoo maofisinii tutegemee niniInasikitisha ktk awamu hii bado vyombo vya umma vina dhulumu wananchi, haki iko wap sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpwa yule alingiaga kwnye 18 znguvidili vyaooo vingii vonapigwaa KWENYE VIBANDA Fulani VYA soda na cake mle NDAN weee
Ninaa zakeeee kakanyagaa chakaa zamuyakee Wale mab...anaowategemeaa wamsaidieeMpwa yule alingiaga kwnye 18 zngu
Nlimchezeaa mchezoo alifurahiiiii
Akaja kupewa cv a kaambiwa wale huwa wezi wale tokea Enzi za azam na salamander kitambooo utaawambiaa nn
Alikuwa akinipeleka huku nampeleka kuleee
Akasema Kweli nmekutana na mshineee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule hafaiiiiNinaa zakeeee kakanyagaa chakaa zamuyakee Wale mab...anaowategemeaa wamsaidiee
Tumia computer vizuriHabari za wakati huu, anae jua systm ya TRA ya kuangalia ushuru wa magari naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
duh hatariMkuu customs cif ambayo tra wamefanyia mahesabu ni usd 1787. Wewe cif yako ni usd 2880.
Formula inasema cif yako ikiwa kubwa kuliko tra ushuru unaongezeka maradufu
Sio kweli TRA wanafuata calculator yao inavyosemaSaa Mbovu Master,
Mkuu customs cif ambayo tra wamefanyia mahesabu ni usd 1787. Wewe cif yako ni usd 2880.
Formula inasema cif yako ikiwa kubwa kuliko tra ushuru unaongezeka maradufu
Ila yako ikiwa kubwa wanakuheshimu yakoSio kweli TRA wanafuata calculator yao inavyosema
Ukisikia bado tunatawaliwa ndo hiyo, nchi zilizoendelea hawatokubali, hii haina tofauti na ushoga, mitumba, watoto wa kike kuendelea na masomo wakati wanamimba, kiongozi yeyote ajitokeze kupiga marufuku uone kitakachotokea.Nnavojua mimi lengo mojawapo la kuweka ushuru ni kufanya watu waagize magari mapya mengi kuliko used. Lakini mbona ukiagiza gari jipya ushuru wake unakuta ni mwingi zaidi tena sana kuliko wa used. Kuna umuhimu wa kikokotozi chetu cha kodi kufanyiwa marekebisho ili wanao agiza gari mpya kodi iwe nafuu kuliko used hili litasaidia sana kuinua uchumi na kupunguza ajali
Washapinga sanaUkisikia bado tunatawaliwa ndo hiyo, nchi zilizoendelea hawatokubali, hii haina tofauti na ushoga, mitumba, watoto wa kike kuendelea na masomo wakati wanamimba, kiongozi yeyote ajitokeze kupiga marufuku uone kitakachotokea.
Mkuu, kinachosababisha kodi ya gari jipya inakuwa juu hasa ni kiasi cha CIF. Ila uwiano wa kodi ni kidogo kulinganisha na gari used. Sema vile used cars zinakiwa na CIF ndogo ndio maana tunahisi kodi yake ni kidogo pia.Nnavojua mimi lengo mojawapo la kuweka ushuru ni kufanya watu waagize magari mapya mengi kuliko used. Lakini mbona ukiagiza gari jipya ushuru wake unakuta ni mwingi zaidi tena sana kuliko wa used. Kuna umuhimu wa kikokotozi chetu cha kodi kufanyiwa marekebisho ili wanao agiza gari mpya kodi iwe nafuu kuliko used hili litasaidia sana kuinua uchumi na kupunguza ajali
Pamoja na kutumia CIF ila kwanini kusiwe na punguzo jinsi gari linavokua jipya. Mfano gari ikizidi miaka kumi kodi ni 90% ya cif na cc zikizidi #### sasa kuwepo pia na punguzo kwa gari iliyo chini ya miaka hata 2 ya 90% ili tuweze kumiliki magari yenye ubora hasa upande wa public transportMkuu, kinachosababisha kodi ya gari jipya inakuwa juu hasa ni kiasi cha CIF. Ila uwiano wa kodi ni kidogo kulinganisha na gari used. Sema vile used cars zinakiwa na CIF ndogo ndio maana tunahisi kodi yake ni kidogo pia.
Trust me huwa hawafuati kabisaaa.Sio kweli TRA wanafuata calculator yao inavyosema