Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
feyzal wewe ni mfanyabiashara kweli? TRA hawauzi EFD machine.Nilichoka siku nilipoenda kuulizia utaratibu wa kupata EFD machine nilipoambiwa laki 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
feyzal wewe ni mfanyabiashara kweli? TRA hawauzi EFD machine.Nilichoka siku nilipoenda kuulizia utaratibu wa kupata EFD machine nilipoambiwa laki 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Factmnadanganyana
kwanza kodi sio VAT peke yake
pili thamani ya kitu sio bei uliyonunulia
ndio maana hata ukipewa bure bado utalipishwa kwa vile thamani yakr sio sifuri kwa sababu eti umepewa bure
tena ukipewa bure au kwa bei ya kutupa ndio utalimwa excise duty ya kutupa takataka, au dumping fee, maana Afrika haitaki kuwa tabata dampo la dunia
thamani ya kitu hapa Tanzania inapangwa na TRA
hicho kiji mashine TRA waliona wasipoteze muda kukithaminisha maana hakina demand, hakijulikani, hakitumiwi hapa nchini, wakakupetesha
lete mashine la kushoma magunia uone kama watacheki thamani yake kwenye simu yako...
Likishaingia nchini linaitwa gari la mkononi, industry parlance at Lumumba and Kidongo Chekundu.Kwani hilo subaru wakati linauzwa halilipiwi kodi, Kwanini mnapiga thamani ya kuuzwa ikiwa bado halijauzwa na likiuzwa kunakuwa
na kodi tena.
Nashukuru kwa ushauri.Mkuu nadhani ungemtafuta mwanasheria au advocate uongee nae vizuri. Humu watakuja kukukejeli na kukuuliza maswali ya Ajabu.
Mtafute mtu personal anayeifaham sheria uweze kuongea nae.
Anza kusifia CCM na kujipendekeza yataisha
Sawa, japo nipo mkoani lakini nitajaribu kabla muda walionipa haujaisha.bigmash,
Pole ndungu. Nakushauri omba appointment na waziri mwenye Dhamana. Kuna miwatu pale TRA ni mijizi hatari badala kuinua Wajasiliamali wadogo kazi yao kuwapoteza hadi Inasababisha Yeboyebo za mezani wanauza Wachina. Naamini asilmia100 utafanikiwa ukimuona Waziri husika. Kama ni ngumu sana kumuona mvizie majumba ya Ibada au mikutano ya kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu, asante.Zamani nilisikia Ndugu Imani Madega ni mwanasheria anaye husika na kesi za kibiashara.
Kama unaweza mtafute huyu mdau ndugu yake Ridhiwani JK.
Nenda ukapate ushauri wa kisheria haraka sana. Nahisi harufu ya rushwa katika hili sakata.
Unatengenezewa mazingira uombe kufanyiwa wepesi kwa kuwapa chochote kitu cha kutunisha matumbo ya wadau fulani hapo Forodhani.
I like it mkuuPole ndg yangu. Fanya yafuatayo:
Mtafute wakili mzuri akushauri nini cha kufanya.
Pili, usijaribu kukata rufaa kwa hayo majizi ya TRA maana watakupotezea muda tu.
Tatu, hakikisha una copy ya mahesabu ya awali ya hiyo mil 5 uliyoisain ili uwe ushahidi kokote utakapohitajika au hata mahakamani.
Mwisho, usidhubutu kulipa kulipa kiwango chochote kile kilichoongezeka nje ya assessment ya awali. Hao wahuni wa TRA sio mwisho wa suluhu wa jambo hili. Ni mijitu tu yenye roho mbaya lakini ukweli sio msimamo wa Serikali hii.
Ikikupendeza ni PM nikupe some abc on how to go about this...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijitu mingine bana!!!Anza kusifia CCM na kujipendekeza yataisha
Kajua nini kinaendelea na Kwa vile wamempa kazi hataki kujiharibiaMkuu wanataka utoe Rushwa fataushauri namba 10.
Huyoo Tax consultant Wako kwanini aligoma kwenda TRA??