NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 278
Dar hapanaDar hutaki
Dar hapana
Search humu kuna special thread ya hizo mambo zenu za kubadirishana vituko.Habari wakuu, wadau na wakongwe wa JamiiForums.
Mm ni mmoja wa wapenzi wa taasisi hii, nimeanza kuifatilia na kusoma machapisho mbalimbali pasina kuwa member wa mtandao huu. (From 2018-2023)
Mada Kuu.
Nipo katika harakati za kubadilisha mazingira ya kazi. KITUO CHA KAZI nilicho kwa Sasa ni BUKOBA DC mkoa wa KAGERA, kada ya KILIMO. KITUO ninachopendelea kuwepo ni KITUO chochote kutoka mikoa ifuatayo MBEYA,TANGA,PWANI na MOROGORO.
Asanteni.
Habari wakuu, wadau na wakongwe wa JamiiForums.
Mm ni mmoja wa wapenzi wa taasisi hii, nimeanza kuifatilia na kusoma machapisho mbalimbali pasina kuwa member wa mtandao huu. (From 2018-2023)
Mada Kuu.
Nipo katika harakati za kubadilisha mazingira ya kazi. KITUO CHA KAZI nilicho kwa Sasa ni BUKOBA DC mkoa wa KAGERA, kada ya KILIMO. KITUO ninachopendelea kuwepo ni KITUO chochote kutoka mikoa ifuatayo MBEYA,TANGA,PWANI na MOROGORO.
Asanteni.
Nna mpango huo Kaka lkn siwezi kuacha kazi bila sehem ya kushika KakaNdugu nakushauri jiajiri tu hizo kazi waachie na kazi zao