Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

Nahitaji mtu wa kubadilishana nae kituo Cha kazi. Yeye aje ileje(Itumba hospitali ya wilaya ) mkoani Songwe. Mimi niende Buchosa Sengerema au Nzera ya Geita. Idara ya afya(C/O).
 
Jamani nahitaji kuifuata familia....japo kituo changu Cha Sasa ni kizuri Ila kutokana na sababu za kifamilia nahitaji kubadilishana.
 
Habari,

Natafuta mtu wa kubadilishana nae uhamisho, mimi ni mtumishi wa mahakama mkoa wa Mara kwa kitengo cha RMA (Records Management Assisstant), nahitaji kuhama kwa kubadilishana na mtumishi wa kada hiyo kwa mkoa wowote wa kusini au nyanda za juu kusini au kanda ya kati au kanda ya mashariki au kanda ya kaskazini mashariki. Kwa yeyote aliye tayari kuja huku na mimi nije huko naomba aje inbox tuwasiliane.

Asanteni
 
Back
Top Bottom