GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot_2025-06-28-14-18-21-83.jpg
 
hawa kenge watauana
wanamimiminika kwa kasi sana

aliye sema ajue kusoma na kuandika aliharibu sana

msukuma anasema hakuna hela anashangaa wanao kimbilia ila hapo hapo hataki kuacha na yeye
 
Leo Makatibu wa CCM watalala maofisini wanatoa fomu maana si kwa mafuriko haya
 
Wadau thread hii ni ya kuhabarishana kuhusu watia nia katika majimbo mbalimbali Tanzania bila kujali ni wa Chama gani cha siasa. Nani katia nia jimbo gani na taarifa zake

Kwani hivi kuna uchaguzi Tanzania , Tokea lini ??
 
Back
Top Bottom