Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Hawa hawawezi kuiga mfano wa mzee Mkuchika?
Uchaguzi utakuwepo siku ukigombea wewe.Kwasasa endelea kukua watu wazima wafanye wanachoona nisawa.Hakuna uchaguzi pasipokuwa na mabadiliko ya kimfumo. Nje ya hapo ni ule upuuzi wa 2019, 2020 na 2024
Nafikiri ingewekwa ki majimbo nasi tuonekane,uratibu ufanyikeTunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge.
Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo.
Juni 2025
- Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM
- Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
- Jesca Magufuli achukua fomu ubunge viti maalum
- Balozi Mulamula achukua fomu ubunge viti maalum
- Mkuwe Isale (Mamy Baby) achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora
- Rais wa Yanga, Injinia Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni
- Mwalimu wa shule ya msingi, Furaha Nemela atia nia Ubunge, Masasi
- Daniel Chongolo ajitosa jimbo la Makambako
- Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM
- Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida
- Jerry Silaa achukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga
- Kulwa Biteko achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Katoro
- Makamu wa Rais Yanga, Arafat Haji, achukua fomu ya Kugombea Ubunge jimbo la Shauri Moyo
- Makonda achukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
- Pre GE2025 - Richard Kasesela achukua fomu ya Ubunge Rungwe, Mbeya
- Pre GE2025 - Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele achukua fomu Dodoma Mjini
- Pre GE2025 - Kada wa CCM Elias Mdao achukua fomu kuwani Ubunge jimbo la Kongwa
- Pre GE2025 - Wananchi Uyole wamchukulia fomu Dkt. Tulia Ackson kugombea Ubunge
- Pre GE2025 - Mwandishi wa habari Adam Malima achukua fomu ya Ubunge Mpwapwa kupitia CCM
- Pre GE2025 - Antony Mavunde achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mtumba
- Pre GE2025 - Kada wa CCM Aloyce Mwenda achukua fomu ya kuomba ridhaa jimbo la Lupembe
- Pre GE2025 - Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida
- Pre GE2025 - Fadhili Ngajilo achukua fomu ya ubunge Iringa Mjini kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mhandisi Robert Gabriel achukua fomu kugombe ubunge Geita Mjini
- Pre GE2025 - Jesca Magufuli achukua fomu ubunge viti maalum
Asipopewa huo uwaziri?Kwa cv aliyonayo anataka uwaziri
Muhendisamu huyu Daktari George.
Kama hatoi ubwabwa!Sometimes mambo yaweza enda ndivyo sivyo Lakini wananchi watakuwa wajinga kumtaa mtu mwenye CV ya kadogosa
Anasubiria mwenge!Vp lucas mwashambwa hajatia nia?
Inchi yetu inashida sana...hadi huyu fisadi wa ardhi ya Lukuvi Mwanza.
Utaambulia HIV usiende... Pagumu...
Kyupi ishalowa?Muhendisamu huyu Daktari George.
Hiyo inazuia mimba tu na utelezi...Nitaupiga mwingi na mama....
View attachment 3387393
Ilowe mara ngapii? [emoji23][emoji23][emoji23]Kyupi ishalowa?